hayawi hayawi yamekuwa......

hayawi hayawi yamekuwa......

Baba V hivi kwanini una majungu sana na mimi
au na wewe ulikuwa unanitaka?

Kesho bishanga na Mamndenyi wanadamkia angaza kucheki hechaivii,wamechoka kuoga huku wamejifunika mwavuli.
Shukrani za pekee kwa mshauri nasaa na mwenyekiti wa cc anayetambuliwa ofisi ya msajili wa wenyeviti ndugu Baba V ( jaribio la kumpindua limefeli Nivea UNDENIABLE na genge lenu la maharamia mnatafutwa na kova,kasema jisalimisheni la sivyo....).
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom