heee Heaven on earth
usiogope foleni hata kama inaleta hasira.
Kongosho ukame ulimzidia,out of sight out of mindHe he he, na vimada wanajiita Misezi? Kumbe mie kwenda kusoma UK imekuwa hivi? I need to come back and show 'em
Katavi naomba uangalie umuhimu wa kikitoa kwa kuwa mke wake Lady doctor
analalamika sana, kama ni hela sema watakulipa ili mradi umfungulie.
Jidanganye
Mwambie akupe Memarts za makampuni, mie namiliki share 9 yeye 1
Hawezi kuachana na mie asilani, hivi mnatanua kwa pesa yangu? Nitamuua Bishanga
Kesho bishanga na Mamndenyi wanadamkia angaza kucheki hechaivii,wamechoka kuoga huku wamejifunika mwavuli.
Shukrani za pekee kwa mshauri nasaa na mwenyekiti wa cc anayetambuliwa ofisi ya msajili wa wenyeviti ndugu Baba V ( jaribio la kumpindua limefeli Nivea UNDENIABLE na genge lenu la maharamia mnatafutwa na kova,kasema jisalimisheni la sivyo....).
Fixed Point kupima si ilikuwa jana!!!!
kama walitujuza kuhusu kupima basi na majibu watujuze
umeona eeeh!Fixed Point kupima si ilikuwa jana!!!!
kama walitujuza kuhusu kupima basi na majibu watujuze
Mmekimbia majibu mbona....??Mna haraka
kila kitu kitakuwa hapa hapa ubaoni
msiwe na wasi wasi.