Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
wewe na huyo mnaeenda kupima naye hechiaivii hamkunielewa ujue.Fixed Point ka vipi saga chupa changanya na dawa ya panya kisha viringisha kwenye salfa mikorosho kunywa.
hayo maneno nilikuwa namsemea yeye alipokuomba usimwite mtu mwingine love isipokuwa yeye tu.
mimi niwaonee wivu wa nini Bishanga? unafikiri nikitaka kukukamata nitashindwa?