mimisa ukisikia upambe ndiyo huu
inabidi atwae tuzo ya uvumilivu..maana Bishanga mara Zahra White,mara Mrs Bishanga,sasa hivi wewe,si ajabu kafungiwa ndani haoni..ama kweli mapenzi ni upofu
The secretary hana shida
ni wewe tu wasiwasi wako.
ha haaa, wivu sina ila roho inauma saana..... lol!
Kwi kwi kwi hivi Paloma unamjua Nyani Ngabu au unamsikia? We ungana nae tu utaniambianaungana na Nyani Ngabu
yuu aar positive Bishanga Mamndenyi nna duka la diapers aina zote na kwa watu wa rika lote na saizi zote na kilo zozote. Wewe tuu!
Kwi kwi kwi hivi Paloma unamjua Nyani Ngabu au unamsikia? We ungana nae tu utaniambia
Unamtakia nini?
Kwi kwi kwi hivi Paloma unamjua Nyani Ngabu au unamsikia? We ungana nae tu utaniambia