Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.

Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.

1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.

2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.

Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.

Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.

Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.

Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.

Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.

Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.
Ndio maana Watanzania wenye akili tutaendelea kumuenzi na kumuenzi.
 
Hivi kweli mikopo ni kitu cha kujisifia na kwamba tunabembeleza wazungu

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app

Hao ndio wanao penda kusikia neno umaskini kilasiku.
Viongozi wanapumbaza wananchi kwa kuwaambia hii nchi ni maskini iliwajipigie wanavyo weza,lakini majitu hayashtuki sijui ni ujinga ama makusudi haieleweki.
 
Noma sana
 
Mtu akifa na akawa bado anazungumzwa sana ina maana alifanya mambo makubwa kwa sababu kwa asili binadamu husahau haraka waliokwishakufa na ambao hawakuchangia chochote katika maisha ya walio hai.

Tuseme ukweli jinsi watu wanahangaika kumzungumzia Magu si kwa kiwango sawa na Marais wenzake waliokwishakufa.

This guy was special
Hayati Dr. John Pombe Magufuli was the icon of this mother land country. His legacy will ever and ever prevail generation to generation. Look there njia nane kimara, interchange ubungo, tanzanite bridge, Mfugale Flyover, chang'ombe flyover, mbagala flyover, Magufuli bus terminal mbezi, Bus terminal Dodoma, bus terminal Morogoro, chief Hangaya bazaa, Job Ndugai bazaa and many others just to mention few. You, Tanzainians let late Magufuli rest in peace simply his legacy is there ever and ever.
 
Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.

Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.

1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.

2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.

Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.

Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.

Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.

Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.

Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.

Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.
Alikuwa anakimbiza kama kichaa bila mikakati ya maana ndio maana akalazimika kuanza ujambazi wa kukwapua akaunti za watu benki, kodi na kesi za kubambikia ili kugharimia miradi yake ya kukurupuka! Nani alimwambia nchi inajengwa kwa awamu moja, ujenzi wa kitu chochote ni kupokezana vijiti, sio kama kuingia chooni unakata gogo, imeisha hiyo! Ushamba na ulimbukeni ndio ulimponza mpaka akafa kibudu kama kuku wa kienyeji aliyepata ugonjwa wa kideri rais mzima! Aibu tupu
 
Umewapiga na kitu kizito!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
He was special in eliminating those who were against his dictatorial habits. Mfano ni ben saa nane
...but also, sometimes in mathematics, simultaneous equations are solved by elimination methods because you can't solve for X and Y in a single equation.
 
Hakuna aneyekubali post hii hasa vijana wa ufipa na nyuki wa awamu ya sita utashambuliwa kwa maneno ya sukuma gang na kuambiwa ukalale kwenye kaburi huko chato
Mm sipo ktk kundi la ufipa wala lolote, Niko neutral lakn sijawahi kumkubali jiwe, raisi mbinafsi kuwahi kutokea tz hasa baada ya kutembelea chattle na kuona aliyoyafanya kwa kodi zetu kule
 
Back
Top Bottom