Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.

Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.

1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.

2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.

Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.

Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.

Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.

Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.

Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.

Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.
Mungu niwezeshe kunyamaza kwa hili
 
Hayo yote unayoongea kuhusu raiya kuuliwa niuropokajitu, hakuna ushahidi wowote unao endana na huo uropokaji.
Kuhusu ndege kama alinunua kifisadi wengine walishindwa nini kununua kifisadi kwa miaka 60, tangu tupate uhuru.
Hiyo meli imenunuliwa kipindi ambacho yeye hakuwa na mamlaka ya kuagiza meli mojakwamoja bila kupata muongozo, kwahiyo kusema aliificha ni upuuzi.

Mnamwita mwizi iliwananchi wamchukie, badalayake mnapataaibutu nakuendelea kulialia huku kwenye mitandao na ID feck.

Amini nakuambia hakuna mtanzania yoyote ambae kwa sasa anaweza kuitisha mkutano wa hadhara alafu akajaribu kuongea huoujinga kwamba Magu alikuwa mwizi.

Wezi tunawajua nao wanajujua.
Mkuu so kivuko kupewa Jeshi alikuwa anamaanisha nini kwa tafsiri yako pamoja na shirika kuwa chini ya ofisi yake?
 
Mtu akifa na akawa bado anazungumzwa sana ina maana alifanya mambo makubwa kwa sababu kwa asili binadamu husahau haraka waliokwishakufa na ambao hawakuchangia chochote katika maisha ya walio hai.

Tuseme ukweli jinsi watu wanahangaika kumzungumzia Magu si kwa kiwango sawa na Marais wenzake waliokwishakufa.

This guy was special
Quote:
Kuna ene la makaburi linauzwa chato, wahi kiwanja ulale jirani na mwizi, muuaji wa Ben Saa 8
 
Absolutely
 
Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.

Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.

1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.

2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.

Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.

Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.

Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.

Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.

Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.

Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.

Mhe. Magu ni mtetezi wa wananchi wanyonge wa nchi hii tanguy alipoingia madarakani mpaka anakufa umeme haujawahi kuwa wa mgawo walk bei ya bidhaa haijawahi kupanda kwa kasi kama ilivyo sasa baada ya kifo chake
 
Hakuna lakini huyo alikuwa muuaji mshamba mpaka wananchi wakajua. Pia alikuwa muongo na fisadi
Kama hakuna je sheria ipi ilichukula baada ya hao walifanya mauaji ambao wako hai?
 
Mhe. Magu ni mtetezi wa wananchi wanyonge wa nchi hii tanguy alipoingia madarakani mpaka anakufa umeme haujawahi kuwa wa mgawo walk bei ya bidhaa haijawahi kupanda kwa kasi kama ilivyo sasa baada ya kifo chake
Watanzania watamkunbuka sana, wafanya biashara wadogo pia wanammis sana kwa kupewa uhuru wa kufanya biashara na bilakusahau vitambulisho vya elf 20 kwa mwaka.
 
Quote:
Kuna ene la makaburi linauzwa chato, wahi kiwanja ulale jirani na mwizi, muuaji wa Ben Saa 8
Sasa nchi imetulia na twiga wataanza kupanda ndege [emoji3][emoji3] haujaisikiaa hii mkuu [emoji13]
 
Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.

Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.

1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.

2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.

Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.

Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.

Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.

Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.

Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.

Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.
Kakutuma ulete uzi hapa?!?
 
Kila nikikumbuka nilivyolamba hasara kwenye korosho wakati huo huo nimefukuzwa udereva baada ya miaka 9 kazini eti sina vyeti! Ngoja niishie hapa nisije mkosea muumba wangu.
Siyo kwamba hukuwa na vyeti. Uliingia kazini kwa vyeti vya kughushi ili upate hiyo kazi. Usipotoshe
Leo nasikia watu walioondolewa kwa vyeti feki wanarudishwa kazini! Mwenzetu mbona humo? Kiwarudisha inatengemeza precedent mbaya sana, inajenga jamii ya watu wa kubebwa bebwa na kupendeleana badala ya watu kupigania elimu halali na maarifa, watoto wetu wajifunze nini? Au ndo alimuradi tuende tofauti na JPM?

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Kuna ene la makaburi linauzwa chato, wahi kiwanja ulale jirani na mwizi, muuaji wa Ben Saa 8
Msoga Jazz Band-walamba asali mnaumia sana,mnasahau watanzania wapo walioumizwa awamu ya nne;
1.Mwangosi
2.Kibanda
3.Dr Ulimboka
4.Mwakyembe-kupigwa sumu
5.Mabomu kwa Wana-CHADEMA-Arusha
Huu ndiyo ulikuwa utawala bora? Tukubali JPM aliwazidi maarifa na ubunifu wenzake,ata Mzee Mwinyi ameshawahi kusema Mara kadhaa.
 
Back
Top Bottom