Ameeeni. Mungu ni mwema.MUNGU ahimidiwe sana kwa kulifyeka hilo dikteta March 17, 2021.
Kamuulize yule tajiri kuwa alimwambia Nini Lazaro masikini.We lazima utakuwa mchawi, watu kwa mamillon wamemlili na kumuombea pumziko la milele we unashangilia.!!.
Hayo ni mahasira tu na stress, nani alikuambia usisome, wenzako wanasoma we unataka shortcut kwa kubumba vyeti, jutia ujingawako mkuu.Kamuulize yule tajiri kuwa alimwambia Nini Lazaro masikini.
Lile shetani lenu linaungua huko jehanamu.
Ukiwa muovu kama Jiwe jua utazungumziwa milele. Siyo rahisi kwa binadamu kusahau maovu ila wema unasahaulika mapemaMtu akifa na akawa bado anazungumzwa sana ina maana alifanya mambo makubwa kwa sababu kwa asili binadamu husahau haraka waliokwishakufa na ambao hawakuchangia chochote katika maisha ya walio hai.
Tuseme ukweli jinsi watu wanahangaika kumzungumzia Magu si kwa kiwango sawa na Marais wenzake waliokwishakufa.
This guy was special
Watu gani hao?We lazima utakuwa mchawi, watu kwa mamillon wamemlili na kumuombea pumziko la milele we unashangilia.!!.
Bila kusahau msala aliotuachia wa madeni makubwa sana. Alikaa miaka mitano tu lakini pesa aliokopa ni zaidi ya Kikwete aliyekaa miaka kumi ukichanganya na ya Mkapa aliyekaa naye miaka kumi . na ukichanganya na ya Mwinyi naye alikaa miaka kumi ukijumlisha na ya Nyerere aliyekaa miaka 30Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.
Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.
1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.
2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.
Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.
Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.
Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.
Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.
Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.
Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.
JPM ukiacha manyanyaso kwa Wananchi wa Kimara, Watumishi na wafanyabiashara kupitia wateule wake, alikuwa mtu poa sana.Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.
Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.
1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.
2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.
Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.
Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.
Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.
Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.
Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.
Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.
Mzee mwinyi aliwahi kumsifia mwenye akiwa hai,Mimi na wewe nani tuache kupeleka pongezi kwa Yale na muda ule.
Ben Sa nane si kama raia tuu wengine wanao kufa kila siku...Kuna ene la makaburi linauzwa chato, wahi kiwanja ulale jirani na mwizi, muuaji wa Ben Saa
MBONA ALIISHIWA PUMZI? NA ANGEKUWEPO ANGEIKIMBIA WAZUNGU WALIKUWA WAMEGOMA KUTOA MISAADA NA MIKOPO ndio maana Mama anaenda kuwabembelezaHayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.
Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.
1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.
2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.
Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.
Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.
Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.
Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.
Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.
Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.
mambo yaliyofanywa na awamu ya 5.....Orodha ni ndefu ila haya kwa uchache.Hayati Magu miaka mitano kama 15.