Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

Usisahau kuwa ndiye mtu aliyeua raia wake na kuwateka kila walipomkosoa. Alinunua ndege kifisafi na kuamua kuliweka shirika chini i ofisi yake kukwepa uchunguzi. Vivyo hivyo alifanya kwenye kivuko kwa kukiweka chini ya jeshi kukwepa uchunguzi. 1.5 tr mpaka leo haijulikana ilipo
Hayo yote unayoongea kuhusu raiya kuuliwa niuropokajitu, hakuna ushahidi wowote unao endana na huo uropokaji.
Kuhusu ndege kama alinunua kifisadi wengine walishindwa nini kununua kifisadi kwa miaka 60, tangu tupate uhuru.
Hiyo meli imenunuliwa kipindi ambacho yeye hakuwa na mamlaka ya kuagiza meli mojakwamoja bila kupata muongozo, kwahiyo kusema aliificha ni upuuzi.

Mnamwita mwizi iliwananchi wamchukie, badalayake mnapataaibutu nakuendelea kulialia huku kwenye mitandao na ID feck.

Amini nakuambia hakuna mtanzania yoyote ambae kwa sasa anaweza kuitisha mkutano wa hadhara alafu akajaribu kuongea huoujinga kwamba Magu alikuwa mwizi.

Wezi tunawajua nao wanajujua.
 
He was special in eliminating those who were against his dictatorial habits. Mfano ni ben saa nane
Tuambie Raisi Ambae katoka madarakani hajafanya mauwaji.
 
Usisahau kuwa ndiye mtu aliyeua raia wake na kuwateka kila walipomkosoa. Alinunua ndege kifisafi na kuamua kuliweka shirika chini i ofisi yake kukwepa uchunguzi. Vivyo hivyo alifanya kwenye kivuko kwa kukiweka chini ya jeshi kukwepa uchunguzi. 1.5 tr mpaka leo haijulikana ilipo
Raisi gani ametoka madarakani bila mauaji kutokea
 
Awamu ya nne mkuu
mambo yaliyofanywa na awamu ya 5.....Orodha ni ndefu ila haya kwa uchache.

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
 
Hayati Magu miaka mitano kama 15.
Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10.

Nitataja kwa uchache nawewe utaongezea kwa sauti ama kimya kimya.

1, Kuweka nidhamu kwa watumishi, yani mtumishi wauma alijuwa wazi akiharibu kinacho fuata ni kupoteza kazi.

2, Kuanzisha mradi mkubwa wa umeme.
Pamoja na figisu fugisu kutoka kwa mabeberu na mawakalawao lakini Jembe alikomaa na tukaanza ujenzi wa bwawa.
Wote tuna fahamu mizengwe iliyokuwa inawekwa,mara tunaharibu misitu,mara urithi wa dunia,na ujingaujinga mwingine mwingi lakini jembe alifumba macho na kuchukua maamuzi kama kiongozi na kazi inaendelea.

Miundo mbinu, flyivers madaraja kama Tanzanite,Busisi,na Wami.

Ununuzi wa ndege,na ujenzi wa viwanja vya ndege.
SGR na mengine mengi, yanaonyesha spidi yake katika kukuza uchumi wanchi ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na tulivyo zoea miaka ya nyuma.

Kwamfano miaka iliyopita kuanzia Mkapa, tunaona maendeleo yake kwa miaka kumi kwa vitu vinavyoonekana kirahisi ni Daraja la Mpkapa kusini, na uwanja wampira Taifa.

Kwa mzee Kikwete maendeleo yanayoonekana kirahisi ni Ujenzi wa barabara nchi nzima kwa usimamizi wa Hayati Magu na daraja la Nyerere kigamboni.

Sasa ukihesabu miradi ya magu utaona ni mingi na mikubwa mara 20 kwa miradi iliyo anzishwa na wenzake hao wawili kwa miaka 20.

Kuna watu wanaumiza vichwa saizi jinsi ya kwenda na speed yake japo amesha kufa.

Alijenga Mahakama za kisasa nchi nzima.

Masoko nchi nzima

Machinjio nchi nzima

Vituo vya afya, Hospitali za wilaya, Hosptotali za rufaa, hospitali za kanda nchi nzima.

Standi za mabasi nchi nzima
 
mambo yaliyofanywa na awamu ya 5.....Orodha ni ndefu ila haya kwa uchache.

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
Mzee alikuwa bonge la kiongozi. Tunammis sana alikuwa Hana makuu
 
Alijenga Mahakama za kisasa nchi nzima.

Masoko nchi nzima

Machinjio nchi nzima

Vituo vya afya, Hospitali za wilaya, Hosptotali za rufaa, hospitali za kanda nchi nzima.

Standi za mabasi nchi nzima
Tena kwa viwango, ukipita maeneo ya Sinza mitaani barabara zimejengwa kwa viwango hapakuwa na uchakachuaji kama zamani.
 
Hayo yote unayoongea kuhusu raiya kuuliwa niuropokajitu, hakuna ushahidi wowote unao endana na huo uropokaji.
Kuhusu ndege kama alinunua kifisadi wengine walishindwa nini kununua kifisadi kwa miaka 60, tangu tupate uhuru.
Hiyo meli imenunuliwa kipindi ambacho yeye hakuwa na mamlaka ya kuagiza meli mojakwamoja bila kupata muongozo, kwahiyo kusema aliificha ni upuuzi.

Mnamwita mwizi iliwananchi wamchukie, badalayake mnapataaibutu nakuendelea kulialia huku kwenye mitandao na ID feck.

Amini nakuambia hakuna mtanzania yoyote ambae kwa sasa anaweza kuitisha mkutano wa hadhara alafu akajaribu kuongea huoujinga kwamba Magu alikuwa mwizi.

Wezi tunawajua nao wanajujua.
Mkuu nadhani ukweli kuhusu yule dhalimu unaujua, acha kufumba macho au kijitoa ufahamu.
 
Back
Top Bottom