GE2025 Hayati Magufuli alitukosea sana

GE2025 Hayati Magufuli alitukosea sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
313
Reaction score
533
Wakuu,

Yani katika vitu Magufuli alitukosea sana kama watanzania ni kuua upinzani kitu ambacho kinafanywa kwa muendelezo mpaka sasa.

Kitu kingine ni kumteua Samuya kama makamu wake asee hapa alitukosea mnooo.

Alikua Rais mzuri aliyependwa na kila mtu lakini katika uchaguzi mkuu wa 2020 alipata kura mil 12 na hapo za wizi zikiwemo.

Njoo kwa Samuya sasa ambae hapendwi ht na sisimizi, muitikio wa wapiga kura wote tulishuhudia lkn ajabu et kashinda kwa kura mil 31.

Hii dhambi na laana itawatafuna wote walioshiriki katika wizi huu karne na karne.

Magu umelala ila tambua Tanzania umetuachia msala.
 
Magufuli anahusika vipi na huu upuuzi.

Mungu si ‘’Athumani’’ kabla ajafa alisema ukweli wake. Ingelikuwa ni maamuzi yake angeenda na Hussein Mwinyi kama makamu wake.

Huyu mama ni zao la mamlaka ya teuzi ndani ya CCM na weak national security Ndio maana tupo hapa.

Bado siamini mauaji aliyofanya, nimeelewa kwanini Nchimbi hakutaka hata kucheka nae siku ya kupewa vyeti.

oh my god unajiuliza hii ni amri ya raisi kuua watu wake wasio na silaha hivi.
 
Gorofa ukikosea msingi ndio haya.Magufuli shida usukuma na mabifu na unafiki ulimjaa ila angekuwa muelewa haya yote ndio matunda yake.
 
Huo ni ukweli mwingine mchungu.
Ndio nashangaa CCM kutuwekea shida zetu na mataahira ya CDM.

Ujinga ndio msimamo wa CDM wala haya mapoyoyo ya JF.

Vinginevyo watanzania tunataka maendeleo, wakati CDM mnapigania powers za watu.
 
Yote yanayoendelea yalianzana na yeye, acheni kujizima data hata kama mlimpenda

1. Kuua upinzani
2. Kuminya uhuru wa vyombo vya habari
3. Uchawa
4. Kuua anaotofautiana nao
5. Kusitisha ajira

Hayo mazuri yake mnayoyaona hivi sasa hayana maana tena sababu mabaya aliyoanzisha mrithi wake ameenda mbali zaidi na kuvuruga nchi kabisa.
 
Badilisha avatar kwanza hili ule dose yangu.

Sina tabia ya kutwanga watoto wa kike.

Wacha nibaki na maumivu ya ujinga ulioandika.
 
Badilisha avatar kwanza hili ule dose yangu.

Sina tabia ya kutwanga watoto wa kike.

Wacha nibaki na maumivu ya ujinga ulioandika.
Kakojoe ulale... ila ukweli haubadiliki kwa wewe kumpenda sana huyo muanzilishi wa uharibifu.

Na historia imeandikwa yeye alianza, warithi wake ni wabaya zaidi na wanaenda mbali sanaaaaa ambako yeye hata hakuwahi waza.
 
Ignored from thereon
 
Kwangu mimi naona ccm wote ni takataka tu. Siku zote wananchi tunatakiwa kutambua ya kuwa adui yetu ni ccm! ccm ndiyo chanzo cha matatizo yote nchini.
 
Back
Top Bottom