Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .

Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.

Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga wanatarajia maeelfu kadhaa watakua na damu yenye vinasaba au visababishi vya kugandisha damu.

"Chanjo imeunganishwa wazi na shida hii adimu," anasema Warkentin, ambaye ni mwandishi mwenza kwenye moja ya majarida ya NEJM. "Tuna bunduki inayofuka moshi ."

Hatujui bado ikiwa kuna viambatisho vya maumbile au utabiri mwingine dhahiri ambao unaweza kuwafanya watu waweze kukabiliwa na hali hii. "Tunajua kutoka kwa utafiti wa HIT kwamba hatuwezi kutabiri ni nani atakayekuza shida hii," anasema Warkentin.

Kinachojulikana ni kwamba huwa inawagonga wanawake wadogo. Wagonjwa wote sita hukomarekani walikuwa wanawake kati ya umri wa miaka 18 na 48, na idadi kubwa ya wagonjwa huko Ulaya walikuwa chini ya miaka 60. Wataalam hawawezi kusema kwa hakika, lakini wana dalili za kwanini damu huganda.

Hizi dawa za chanjo naona kama zinafanyiwa majaribio direct kwa binadamu na sasa majawabu yanaanza kujitokeza. Kama haitoshi chanjo hizo aina mbili zimestishwa mpaka litakapotolewa tangazo jingine.
Subiri ripoti ya wanasayansi aliowateua mama, acha kushughurika na vijarida
 
you are suffering from stupidity arising from ignorance of science. Hakuna dawa haina side effects, issue ni kiwago gani cha side effects......
The US FDA and CDC recommended yesterday that the use of the vaccine should be paused while they review six reported cases in the United States. More than 6.8 million doses of the vaccine have been administered.
Wacha kufananisha matango na maboga ,hapo hakuna side efects ,something wrong with the vaccine ,hata panadoli ina side effect lakini haijasimamishwa na zipo nyingi tu. unapoambia hizo vaccine ni kama mzinga ulioanza kutoa moshi kwa kiluga dalili ya mvua ni mawinguchukulia hao watu sita Marekani na wapo huko Ulaya kuwa ni dalili ya mvua .
 
Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .

Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.

Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga wanatarajia maeelfu kadhaa watakua na damu yenye vinasaba au visababishi vya kugandisha damu.

"Chanjo imeunganishwa wazi na shida hii adimu," anasema Warkentin, ambaye ni mwandishi mwenza kwenye moja ya majarida ya NEJM. "Tuna bunduki inayofuka moshi ."

Hatujui bado ikiwa kuna viambatisho vya maumbile au utabiri mwingine dhahiri ambao unaweza kuwafanya watu waweze kukabiliwa na hali hii. "Tunajua kutoka kwa utafiti wa HIT kwamba hatuwezi kutabiri ni nani atakayekuza shida hii," anasema Warkentin.

Kinachojulikana ni kwamba huwa inawagonga wanawake wadogo. Wagonjwa wote sita hukomarekani walikuwa wanawake kati ya umri wa miaka 18 na 48, na idadi kubwa ya wagonjwa huko Ulaya walikuwa chini ya miaka 60. Wataalam hawawezi kusema kwa hakika, lakini wana dalili za kwanini damu huganda.

Hizi dawa za chanjo naona kama zinafanyiwa majaribio direct kwa binadamu na sasa majawabu yanaanza kujitokeza. Kama haitoshi chanjo hizo aina mbili zimestishwa mpaka litakapotolewa tangazo jingine.
WaTanzania exposure ni shida sana hvi tatizo ni chanjo au ni kampuni moja tu? Kwani mmekatazwa kutumia pfizer au Moderna?

Kwanini mnapenda ku generalise chanjo zote ni mbaya? Btw hyo Astra Zeneca imeathiri watu chini ya 100 huku watu zaidi ya million 20 wamedungwa na wapo salama.

Hvi hata ukienda pale ocean road kwa kila wagonjwa 100 wanaopigwa radiotherapy ama chemotherapy trust me watu 10 kati yao huwa wanapata side effects kibao na wengine kufariki mapema ila sijawahi sikia hapa kelele kuwa treatment za cancer zipigwe marufuku.

WaTanzania tunapenda umbea kuliko facts
 
hadi sasa vaccine ya china bado haijalalamikiwa, na ndio watu wengi wanaipendelea, kama yule kiongozi amepigwa astra basi tumuisabie masiku anakwenda tu :cool:
 
Tanzania wameputukutika baada ya kutumia chanjo ipi?

Hayati JPM mlikuwa mnamsingizia kucha kuchwa eti wananchi wanakufa kwa corona, zile kelele zimeishia wapi au watanzania tumetumia chanjo?
Upepo uli peak February..... So third wave imepita waliokufa hayaa waliopona ndio kina mwandosya et al. Ila ugonjwa bado upo ila media tu imepunguza kutangaza after the death of JPM
 
Kufa ni kufa tu maana corona haidhihakiwi
 
hadi sasa vaccine ya china bado haijalalamikiwa,na ndio watu wengi wanaipendelea ,kama yule kiongozi amepigwa astra basi tumuisabie masiku anakwenda tu :cool:
Kuna aliyekwisha tangulia sasa sijui yeye alichanjwa ipi
 
Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .

Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.

Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga wanatarajia maeelfu kadhaa watakua na damu yenye vinasaba au visababishi vya kugandisha damu.

"Chanjo imeunganishwa wazi na shida hii adimu," anasema Warkentin, ambaye ni mwandishi mwenza kwenye moja ya majarida ya NEJM. "Tuna bunduki inayofuka moshi ."

Hatujui bado ikiwa kuna viambatisho vya maumbile au utabiri mwingine dhahiri ambao unaweza kuwafanya watu waweze kukabiliwa na hali hii. "Tunajua kutoka kwa utafiti wa HIT kwamba hatuwezi kutabiri ni nani atakayekuza shida hii," anasema Warkentin.

Kinachojulikana ni kwamba huwa inawagonga wanawake wadogo. Wagonjwa wote sita hukomarekani walikuwa wanawake kati ya umri wa miaka 18 na 48, na idadi kubwa ya wagonjwa huko Ulaya walikuwa chini ya miaka 60. Wataalam hawawezi kusema kwa hakika, lakini wana dalili za kwanini damu huganda.

Hizi dawa za chanjo naona kama zinafanyiwa majaribio direct kwa binadamu na sasa majawabu yanaanza kujitokeza. Kama haitoshi chanjo hizo aina mbili zimestishwa mpaka litakapotolewa tangazo jingine.
Hapa vimechanganyika kujua nusu nusu na nia ya kiovu ya kufanya wengine wasijue. Hadi leo inayodhaniwa kuhusisha damu kuganda na chanjo ni astrazeneca pekee. Wanaopata mgando huo ni 1 kati ya mamilioni. Hata ikithibitika baadaye kuwa chanjo hiyo ndiyo kisababishi hili litakuwa la kawaida. Dawa yoyote unayokunywa ina rare side effect, ikiwemo kifo - hata aspirin. Hiyo mitishamba ndiyo usiseme, maana hata utafiti mdogo tu wa mwanzo wa kiasi cha sumu yake mwilini haifanyiwi, kwa hiyo uwezekano wa madhara makubwa, licha ya mashaka ya kutibu, uko juu ajabu. Hilo la majaribio ya chanjo ni kuwa tuna shida ya kusoma makala ndefu au za kitaalamu. Kila hatua ya utafiti wa chanjo mwaka 2020 iliandikwa na kuhakikiwa na wataalamu wengine. Maandishi yote hayo yako kwenye majarida makuu yote ya utafiti wa kisayansi na tiba. Ukizisoma hutakuwa na mashaka tena. Muhimu ni kuwa chanjo zote zinazuia kabisa kuugua sana au kufa kutokana tu na covid. Chanjo za Magharibi ziko 5 sasa. Pia ziko za Russia, China, India na hivi karibuni Cuba.
 
Upepo uli peak February..... So third wave imepita waliokufa hayaa waliopona ndio kina mwandosya et al. Ila ugonjwa bado upo ila media tu imepunguza kutangaza after the death of JPM
Kwaiyo tumetumia chanjo yoyote au mama kaleta chanjo yoyote?

Hayati aliona mbali na alikuwa na maono na ndio maana hadi leo tupo hapa kuhusiana na Corona.
 
Wacha kufananisha matango na maboga ,hapo hakuna side efects ,something wrong with the vaccine ,hata panadoli ina side effect lakini haijasimamishwa na zipo nyingi tu. unapoambia hizo vaccine ni kama mzinga ulioanza kutoa moshi kwa kiluga dalili ya mvua ni mawinguchukulia hao watu sita marekani na wapo huko Ulaya kuwa ni dalili ya mvua .
ARV na Chemotherapy zile zina side effects kubwa sana ila sijawahi sikia mkisema zipigwe marufuku.

Watu 6 kati dozi million 7 ndio chanjo ipigwe marufuku.
 
Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .

Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.

Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga wanatarajia maeelfu kadhaa watakua na damu yenye vinasaba au visababishi vya kugandisha damu.

"Chanjo imeunganishwa wazi na shida hii adimu," anasema Warkentin, ambaye ni mwandishi mwenza kwenye moja ya majarida ya NEJM. "Tuna bunduki inayofuka moshi ."

Hatujui bado ikiwa kuna viambatisho vya maumbile au utabiri mwingine dhahiri ambao unaweza kuwafanya watu waweze kukabiliwa na hali hii. "Tunajua kutoka kwa utafiti wa HIT kwamba hatuwezi kutabiri ni nani atakayekuza shida hii," anasema Warkentin.

Kinachojulikana ni kwamba huwa inawagonga wanawake wadogo. Wagonjwa wote sita hukomarekani walikuwa wanawake kati ya umri wa miaka 18 na 48, na idadi kubwa ya wagonjwa huko Ulaya walikuwa chini ya miaka 60. Wataalam hawawezi kusema kwa hakika, lakini wana dalili za kwanini damu huganda.

Hizi dawa za chanjo naona kama zinafanyiwa majaribio direct kwa binadamu na sasa majawabu yanaanza kujitokeza. Kama haitoshi chanjo hizo aina mbili zimestishwa mpaka litakapotolewa tangazo jingine.
Huna chanzo cha habari hili porojo lako., bora ungekaa kimya tu
 
Sasa kwa kiwango hicho mlitegemea hizi chanjo zifanyike bila kuleta mushkel? Kwa wataalam wa afya wako katika hatua nzuri kufikia lengo la kupatikana kwa chanjo inayofanya kazi mubashara- Mkiwa mnajiuliza maswali kama haya pia mjiulize kwanini watu karibia 40 walipoteza maisha wakati wa kumuaga Jiwe na serikali kuu inasema zoezi hilo lilifanyika kwa ustadi wa hali ya juu, Je hilo zoezi lilifanyikaje vizuri wakati kuna watu walipoteza maisha?
 
Back
Top Bottom