Taahira kama wewe ni wa kupuuzwa tu. Huyo aliyeichukia Chadema chuki yake ndiyo imefikisha wapi sasa?Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata kiduchu.
Wewe huyo huyo unasema Magufuli aliwakataa Chadema sababu hawako kwa maslahi ya umma ila matumbo yao alafu sentensi inayofuata unasema tena wamelamba asali hawatetei maslahi ya umma. Tushike lipi sasa. Walikuwa wanatetea au hawatetei, kama walikuwa wanatetea MAgufuli aliwakataa kwanini sasa na kama walikuwa wanatetea ila mama kawalambisha asali ndio maana hawatetei kwanini Magu aliwakataa hadi kutaka kuwafuta kwenye ramani ya dunia?
kuna chama tapeli zaidi ya Ccm duniani??Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata kiduchu.
Wewe ulitaka chama cha demokrasia na maendeleo [ CHADEMA ] wafanye nini wakati huu ?Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata kiduchu.
Wewe ndio unaweza kuwa haufai pia,jiangalie vizuri.Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata kiduchu.
Mungu alivyo mkubwa, aliyeikataa CHADEMA aliondoka na kuiacha ikiwa inazidi kuchanja mbuga. Aliokuwa anapanga mikakati ya kuua upinzani mikuwa mnamshangilia, leo mambo yamekuwa magumu mnaanza kuwalilia wapinzani wawasaidieUtashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata kiduchu.
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo ya
o?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata kiduchu.
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?