Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

Zero brain
 
Hata Shetani japokuwa alitupwa toka Mbinguni kabla ya kuumbwa Ulimwengu anajadiliwa Mpaka kesho
Huyu Mzee Ibilisi lazima Matendo yake yawekwe wazi ili Vitukiu wetu waje kujua kuwa tulikuwa na Mtawala Shetani
 
Uwe unalalamika akiwa anasifiwa pia,maana inaonekana unaumia sana akiwa yanasemwa mapungufu yake
 
Wewe ni punguwani mzee MURENGEERA. wa kutoka mkoa wa Buyenze.
Tunavuruga nyuzi za watu siku ukiwa na uhakika umekwapua wallet imejaa au umeiba kwenye pesa za kununua mahitaji ya chakula cha kuku wa shemeji yako tuanzishe uzi wetu tupambane au lete no yako ya tigo pesa nitakusaidia tuanze mpambano!
 
Tunavuruga nyuzi za watu siku ukiwa na uhakika umekwapua wallet imejaa au umeiba kwenye pesa za kununua mahitaji ya chakula cha kuku wa shemeji yako tuanzishe uzi wetu tupambane au lete no yako ya tigo pesa nitakusaidia tuanze mpambano!
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Mtu upo icu kiuchumi unapumulia mpira
 
Hayo ni mawazo yako.Hapo ni lipi la kumsengenya, hajasengenywa mtu hapo.Ni ukweli umeandikwa.Ndiyo historia fupi sana ya kuishi kwale aliyotuachia.

Umeuliza,kama angekuwa ndugu yake angejisikiaje.Kama hajasingiziwa ni ukweli wa mambo aliyofanya,ungetaka wewe ajisikieje.Si kafanya.Ni haki yake amepewa.Angalau Wajukuu wakikua wata wanatajua au watapata picha jinsi babu yao alivyokuwa.

Kumbuka mpaka leo historia ya Idd Amin Dada inawapa wajukuu picha halisi jinsi alivyokuwa katili na mtawala.Historia itabaki hivyo hivyo.Ulitenda mema utaandikwa kwa wema, ulitenda kwa ukatili utaandikwa kwa ukatili na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…