Muzimu ya mlima koreloBado mpaka leo anawatesa
Umeligusa chawa hiloMeza hiyo hata Kama ni chungu.
Wewe tunakuona humu! Unajua unapokaa unamzungumzia Maguguli inamaanisha alikushika pabaya na mataahira wenzako! Ndo maana kashakufa bado unamzungumzia hapa! Leta basi hata maada za mama.Meza hiyo hata Kama ni chungu.
Like lilikuwa tatizo kubwa sana. Ameacha majeraha mengi hivyo ataendelea kuhadiliwa no matter what. Watu wengi bado wapo kwenye kiwewe hawaamini kama ni kweli kimbunga kimetulia. So Rais wako mpendwa ndugu atazungumzwa sana.Bado mpaka leo anawatesa
Babu yako amewatesa na kafanya mauwaji mengi lazima kumbukumbu zake ziwekwe wazi huyo nduli.Wewe tunakuona humu! Unajua unapokaa unamzungumzia Maguguli inamaanisha alikushika pabaya na mataahira wenzako! Ndo maana kashakufa bado unamzungumzia hapa! Leta basi hata maada za mama Samia au maendeleo unazungumzia mtu ambaye hayupo na wala hatakuwepo tena! Ndo maana unaomekana mpumbavu usiyejitambua!
Lazima ikuguse.ulidhani atadumu, na Kama angesifiwa unge kenua meza hiyo ."Ukikuta mtu anamsimanga marehemu, hayati, au maiti ujue utu wa huyo msengenyaji, msimangaji, ulisha kufa zamani za kale,yaani kitambo, huyo ni msukule huru,ulioachwa uraini uendelea kuvunda taratibu mbele ya ubani." Hivi huyo uliye mwandika hivyo angekuwa ndugu yako, au mwanao ndo kaandikwa hivyo ungejichukuliaje, nafsi mwako?
Mzandiki!Muzimu ya mlima korelo
Majungu si mtaji!Umeligusa chawa hilo
Naona ushamliza mtu hapo kumkwapua bundleMajungu si mtaji!
Umeandika hilo neno ukiwa na dictionary mkononi huku jasho likumwagikaStupid!