Hayakuhusu "Ni mambo ya Kifamilia" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hayakuhusu "Ni mambo ya Kifamilia"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tindikalikali, Aug 31, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 135
  Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi, nyani akapora ndizi akaila,

  Muuzaji aka-mind
  mzungu akasema; una-mind nini wakati kala ndugu yako?
  Mzungu akaondoka kidogo, aliporudi akakuta nyani wake kafa, akauliza kwanini umemuua nyani wangu?

  Muuzaji akajibu "hayakuhusu ni mambo ya kifamilia!"
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huo ukatili sasa!
   
 3. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hahaha ukimwaga mboga namwaga ugali...
   
 4. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,835
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  akakubali na kumthibitishiamzungu kuwa nyani ni sehemu ya familia ya waafrika!
   
 5. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nzur lakin inatuzingua waafrika
   
Loading...