Haya wapinzani wa lowassa semeni kitu hapa!

Haya wapinzani wa lowassa semeni kitu hapa!

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
400
Maana maelezo ya watu ni kua jamaa anawahonga watu wamtangaze yaani kwa kifupi wanasema anaigiza, sasa hapa vpi?
Je. Huyu nae amelipwa? Au nae yuko kwenye igizo?
 
Attachments

  • 1427295123067.jpg
    1427295123067.jpg
    45 KB · Views: 1,092
kwani maandishi ni shi. ngapi mpaka asionekane kalipwa? wewe ukoje naye mpaka usiamini kuwa kalipwa. kumbuka fisadi hakubaliki kwa maskini.
 
Mbona picha za JK mwaka 2005 zilibandikwa mpaka chooni ndio ije kuwa hiyo?Tofauti hapo ni kuwa Lowassa kaanza campaign mapema kuliko JK.

Vile vile huyo mwenye duka nae huenda ana undugu na Lowassa.
 
Mbona picha za JK mwaka 2005 zilibandikwa mpaka chooni ndio ije kuwa hiyo?Tofauti hapo ni kuwa Lowassa kaanza campaign mapema kuliko JK.

Vile vile huyo mwenye duka nae huenda ana undugu na Lowassa.

Well said, kwahyo 2005 aliandikwa pia kikwete na akawa presdnt..
 
bado anazichanga ataenda zamu ya wafanyabishara wadogo
 
Back
Top Bottom