Umejuaje umepita wakati wameandika bado wanaprocessingmimi nashukuru mungu nimepita 2nd round ,cjajua vyuo vitatoa lini 2nd batch.
mkuu mimi nilitemwa 1st round na nikareapply na nimepita ,anachosema mtoa thread ni jambo la ukweli ,sema TCU wamefanya ku2mia text ya zaman haijafanyiwa editing ,ndyo maana mnaona pale hawajaandka neno 3rd round ,ila ukijiongeza utaelewa wamemaanisha 3rd round ,na cyo 2nd round kama inavyoonekana.Mkuu sote tunazo vo izo adroid xx...inakuaje kuchomeana mb kwa taarifa ya kipumbav km hii?
wameniandikia kuwa am provissional selected into 1 programe ,nimeangalia this time!Umejuaje umepita wakati wameandika bado wanaprocessing
Ni mabadiliko yapo maana Mara ya kwanza walikua wanasema cas is closed but sasa wanasema kama alivyo andika mtoa thread.
yah ni kweli mkuu hata mimi nimeona ivyo........wanaobisha waangalie kwa makini tafadhari.......
Bado bhn hyo ilkuwep toka zaman baada ya 1st round
Ukifungua profile yako angalia selection result