AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,417
- 1,389
- Thread starter
- #21
mkuuu kina kipesha , muhabe ? aise nilimaliza hapo pia BAF , very interesting , ila at the end unatoka na mambo mengi uejifunza nje ya shule.shule ya Mzumbe aitaki Ubishoo tena BAF Aitaki maneno Mengi.Wengi wata Graduate First and second semester ya Mwaka wa Kwanza Tu...
Mwaka wa Pili Ndo uwa Heshima ya Hyo kozi inakuja maana Wengi wana aga Mashindano Supp zinakuwa Accumulated...Ina Uma sana pale unapo Ona unaacha Mkopo wako semester ya Pili ya Mwaka wa PILI..Wenzako wanaenda kwa ajiri ya Field...Aisee kuna Mengi mtajionea mimi sipatamani tena Hapo Mzumbee.
USHAURII.
SHULE YA MZUMBE NI SHULE ASAA KWA HIYO KOZI...MJITAIDI MPIGE SHULE MADOGO
KAMA PULLING YAKO NI DOGO OMBA TRANSFER MAPEMA.
MUNGU AWATANGULIE