AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,417
- 1,389
Karib
Wazee wa misuli ya kuuwana..
Hivi mzumbe washatoa form za joining instruction???
Hah misulii ya kuuwana tena?Wazee wa misuli ya kuuwana..
Broo unatutisha... Hivi BAF PS na BAF BS......wapi shida ipo??shule ya Mzumbe aitaki Ubishoo tena BAF Aitaki maneno Mengi.Wengi wata Graduate First and second semester ya Mwaka wa Kwanza Tu...
Mwaka wa Pili Ndo uwa Heshima ya Hyo kozi inakuja maana Wengi wana aga Mashindano Supp zinakuwa Accumulated...Ina Uma sana pale unapo Ona unaacha Mkopo wako semester ya Pili ya Mwaka wa PILI..Wenzako wanaenda kwa ajiri ya Field...Aisee kuna Mengi mtajionea mimi sipatamani tena Hapo Mzumbee.
USHAURII.
SHULE YA MZUMBE NI SHULE ASAA KWA HIYO KOZI...MJITAIDI MPIGE SHULE MADOGO
KAMA PULLING YAKO NI DOGO OMBA TRANSFER MAPEMA.
MUNGU AWATANGULIE
Soma acha woga kijana...hakuna maisha rahisi.Ukiwa serious utafaulu vema, ni discipline na determination tu. Nasi wenzako tumepita hapo,omba Mungu akupe afya njema tu.Broo unatutisha... Hivi BAF PS na BAF BS......wapi shida ipo??
Broo kw ulivyosema... Inamaanisha first class hakunaga kabisa... Au ndo zinakuaga 3..au 4?Soma acha woga kijana...hakuna maisha rahisi.Ukiwa serious utafaulu vema, ni discipline na determination tu. Nasi wenzako tumepita hapo,omba Mungu akupe afya njema tu.
First class zinapatikana,lakini usisome kwa utumwa kisa unataka first class coz u may end up in total frustration...the important thing ni kuwa na GPA nzuri, play your part as much as you can, let God take care of the rest.Broo kw ulivyosema... Inamaanisha first class hakunaga kabisa... Au ndo zinakuaga 3..au 4?
Dooooh unalog in vp kwenyee iyoo account boijoining instruction ipo kitambo sana login kweny account ako then print mkuu
Aixeee niajeeeFirst class zinapatikana,lakini usisome kwa utumwa kisa unataka first class coz u may end up in total frustration...the important thing ni kuwa na GPA nzuri, play your part as much as you can, let God take care of the rest.