Haya tena nyumba yangu hiyo ipo Vijibweni mumeipenda jamani?

Well, 1.angeacha nafasi around ingeweza kutumika kama Fire escape. 2.Haitaji pole ya TV antenna unafunga mnazini tuu.
 
Eh mi nilivyo iona nikazani ni zile frem za kariakoo ou lile jengo la simba pale kariakoo msimbazi
 
Hukuipernda nini nyumba yangu?Mkuu MATESLAA ukijenga nyumba ya maana Serikali itasema wewe pesa za kujenga hii nyumba umezipata wapi?wewe ni Fisadi bora ujenge nyumba ya kawaida ila pesa uwe nazo Benki.
 
Last edited by a moderator:

Mbona hata hiyo ni yua gharama??
Lakini haina mvuto hata ikipakwa rangi ya chungwa au nyekundu bado hainivutii.
Labda ufanye madarasa ya vile vyuo vya kina nanii.
 
Haikuvutii kabisa? basi nitaiuza ninunuwe nyumba ingine utakayoipenda na kukuvutia wewe unasemaje? Mkuu Da Pretty
 
Last edited by a moderator:
Usikute ni mambo ya ushirikina tuu.
Akikata mti na mfuko wake unakata.
 
Back
Top Bottom