Haya tena makubwa Msaada!

madame, yashatokea hakuna jinsi... haikuwa riziki yako.....

je una feelings kwake?
je ana feelings kwako?

kama hakuna mwenye hisia na mwenzie unachoweza kufanya sasa ni kuweka mipaka na shemeji yako mtarajiwa

kaeni chini mzungumzie hilo, futeni historia, sahauni....mheshimiane zaidi ya mtu na kaka yake

then mdogo wako ana ex wako wafunge ndoa yao...kumbuka wewe una ndoa yako na maisha yako na kama ulivyosema unahisi nduguyo kanasa....

mpe mdogo wako baraka zako, waache wafurahie mapenzi yao...yaliyopit yamepita
 
Naomba ushauri wenu
Maswali yote yatajibiwa..?
Miaka 10 iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano ya mapenzi na kaka X nikiwa school
Baada ya shule tukapoteana yeye alienda nje na sisi kama family tukahama mkoa na kwenda sehemu nyingine na mawasiliano yakakatika..
Nina wadogo zangu pia wa kike shuleni mie pekee nilitumia jina la Babu yaani Condoreza ..M
Wadogo zangu wote wakatumia jina la baba yana N..E Na sasa nimeolewa na nina familia yangu naishi kwa Amani na upendo
Mdogo wangu kapata mpenzi kama kawaida mapenzi ya kileo nahisi anaka ujauzito…
Sasa wamefikia hatua ya kutaka kuoana mdogo wangu na mchumba wamefunga safari kumleta mchumba
kwanza kututambulisha sisi masisters na baadhi ya ndugu ili hatua zingine ziendelee
Na mahusiano yao sio ya muda mrefu sana..
Jumamos naitwa kutambulishwa Shemeji nakuta ni X wangu ..roho imekaribia kupasuka kwa mshituko
Moyo umekufa ganzi naona na yeye kabakia na mshangao..
Tufanyeje juu ya hili?
Sijasema lolote mpaka sasa..
:A S cry:

Yawezekana katika hali ya kukutafuka hakukupata akampat mtu anaye fanafa na wewe na ni mdogo wako sasa shukuru mungu kwani ahadi ya kuoa kwenu imetimia na furahia kuwa mdogo wako kapata mtu unae mjua. Ndoa yao itakuwa nzuri kabisa hii hali iko mahali pengi sana wali isikuumize tena nawe utapata chombo safi katika maisha yako.

Naomba ushauri wenu
Maswali yote yatajibiwa..?
Miaka 10 iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano ya mapenzi na kaka X nikiwa school
Baada ya shule tukapoteana yeye alienda nje na sisi kama family tukahama mkoa na kwenda sehemu nyingine na mawasiliano yakakatika..
Nina wadogo zangu pia wa kike shuleni mie pekee nilitumia jina la Babu yaani Condoreza ..M
Wadogo zangu wote wakatumia jina la baba yana N..E Na sasa nimeolewa na nina familia yangu naishi kwa Amani na upendo
Mdogo wangu kapata mpenzi kama kawaida mapenzi ya kileo nahisi anaka ujauzito…
Sasa wamefikia hatua ya kutaka kuoana mdogo wangu na mchumba wamefunga safari kumleta mchumba
kwanza kututambulisha sisi masisters na baadhi ya ndugu ili hatua zingine ziendelee
Na mahusiano yao sio ya muda mrefu sana..
Jumamos naitwa kutambulishwa Shemeji nakuta ni X wangu ..roho imekaribia kupasuka kwa mshituko
Moyo umekufa ganzi naona na yeye kabakia na mshangao..
Tufanyeje juu ya hili?
Sijasema lolote mpaka sasa..
:A S cry:

Ushauri wa watu numeusoma ila naona tumemsahau na mume wako je akijua itajuwaje?
mumeo ataelewa au ndio hutakaa uende kwa mdogo wako kuhofia ndoa yake.
mmmm huyo mvulana alivutiwa sana na kwenu au na mdogo wako alikuwa akimfaham mda mrefu akasema nimemkosa dada lazima nimpate mdogo wake????
Ila ujue ukimwambia mdogo wako ujue kabisa na mumeo atajua na ndugu wa mume then mtaonekana kituko wewe na shemeji yako wengine watahisi yule kaka kapanga ili awe anamla mtu na dada yake. pole sana ila fikiria sana kabla ya kuamua lolote.
 
@condorezaraisi keep that secret
Mwache mdogo wako na maisha yake maana tayari ana ujauzito wake
Na wala usijaribu hata siku moja kumtakia huyo X wako kukumbushia mambo yenu
Wala usiwe na feeling zozote na huyo X wako
 
yawezekana katika hali ya kukutafuka hakukupata akampat mtu anaye fanafa na wewe na ni mdogo wako sasa shukuru mungu kwani ahadi ya kuoa kwenu imetimia na furahia kuwa mdogo wako kapata mtu unae mjua. Ndoa yao itakuwa nzuri kabisa hii hali iko mahali pengi sana wali isikuumize tena nawe utapata chombo safi katika maisha yako.

watu mnaona mbali kweli kweli
 
Kiukweli hakuna mwenye kosa kati yenu maana nyote mlishachukua hatua moja mbele chakufanya we mpe baraka zako mdogo wako maana maji yameshamwagika na hayazoleki, kama ulivyoxema tayari kimeshakatikia nyie watu wazma kaeni na myaweke xawa ikibidi kama bado jinamiz la kupendana linawaxumbua maana mwaweza do worse things, bt mkikaa na kuyaongea kwa kuyaweka xawa hakuna baya hapo,, all in all iwe issue ya wewe na x wako au wewe, x wako na dogo pekee na cvinginevyo maana dunia hii mnh.
 
Kama unishi kwa amani na ndoa yako ya sasa na huyo mdogo wako ana uja uzito wa X wako, kaa na huyo X wako mueleze namna mtakavyo handle hii ishu isitoshe kati yenu hakuna mwenye makosa hata mdogo wako pia hana makosa, hivyo ni wewe na X kutunza siri waache waoane tu, ila itategemeana na ubavu wa vifua vyenu katika kutunza siri. Binafsi nilikuwa na uhusiano na dada mmoja tukiwa secondary "A level" alafu tukapotezana mwaka juzi ameolewa na brother angu na wana mtoto wanaishi kwa amani hii imebakia kuwa siri kati yangu nayeye maana tulishawahi ku-do several times
rahaa utamuu
 
Some secrets are better kept as secrets.
Kitu kama hii ilishatokea kwa kaka zangu wawili na wifi mmoja. Kwa vile harm imeshatokea pregnancy na uchumba; bora ukae na siri yako na bahati nzuri wewe ni mkubwa, kwa mila nyingi za kitanzania shemeji mkubwa (wa kike) ni kama mkwe so hakuna utani mwingi.

Kaunga hapa ndipo ninapokupendea, huwa unatoa ushauri wa msingi sana! Na hasa hapo penye sentensi ya mwisho ni muhimu sana kuzingatia. Mara nyingi utani kwa watu waliokuwa wapenzi zamani au wanatamaniana huwasababishia kuangukia kwenye uzinzi. Ni vyema kukubali matokeo na kuondoa utani na huyo shemeji/X bf wake!
 
Kaunga asante sana kwa ushauri wako naona Condoreza atajua lipi jema na baya sasa
 
Last edited by a moderator:

Thanks, you are also one of my favorite pia. Unajua nini, sijui ila nina kahunch kuwa Condolezza kama vile anakakuumia fulani; akimchekea chekea tu Ex/shem wake wataharibu na kuumiza mdogo wake.

I wish wangekuwa karibu as sister jinsi wanavyopaswa kuwa; kusingekuwa na kitu kama hiki kama wangeambizana maboyfriends zao kabla. Anyway furaha na amani ya mdogo wake Condo iko mikononi mwao.
 
Kaunga asante sana kwa ushauri wako naona Condoreza atajua lipi jema na baya sasa

I hope so FirstLady1.
Kuna mtu ameshauri amwambie mumewe, maybe sawa lakini aangalie jinsi mumewe anavyoweza handle ukweli kama huo. Kama ni one of those unsecured men bora akae kimya; maana naye anaweza asiwe na amani kiasi kwamba sentensi yoyote itakayo mtaja huyo shemeji yake mpya itatafakuriwa mpaka basi. Na kama ni hawa wanaume wa siku hizi, hakawii kumwambia mdogo wake Condo na wao kuamua kufanya kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamini kuwa wadada tuna power kubwa sana ya kukataa kitu, hasa katika relationship. kama mdada hataki kuendelea na relationship, itakufa. tumia usichana wako, hata huyo kaka aje ki-design gani sema hapana kwa sake ya mdogo wako.
kwa maana hiyo, jitahidi mdogo wako asijue yaliyopita kwani yanaweza kuwaweka sehemu ngumu wote watatu.
Ila hapa tahadhali, kama huyo kaka bado ana chembe za feelings kwako, anaweza kuku-blackmail kuwa umpe angalau siku moja, otherwise atasema.......... tafadhali usikubaliane naye, mruhusu akaseme, na ninakuhakikishia hatasema
 
Unajihofia kumtamani shemejio?
Yaani mtoto wa kike unawasiwasi na uwezo wako wa kutunza siri? Mmh, tunahitaji unyago aisee!
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi
 
Back
Top Bottom