Haya tena makubwa Msaada!

condorezaraisi - Pole sana bi mkubwa...ni swala unalotamani kulisikia kwa mwingine na kamwe lisikufike wewe. As much as unatamani iwe historia na ibaki huko huko i.e. in the past..wasiwasi wangu uko kwa mdogo wako..nina amini kabisa kuwa hakuna siri ya wawili...na ipo siku hili litakuja kujulikana tu.. God Forbid! Mdogo wako atachukulia vipi swala hilo atakapogundua kuwa mlifanya siri kwa kipindi chote? Na mumeo jee? Kuna siri ambazo ni bora ziwekwe wazi mapemaaa kuliko kusubiria lije kubumbuluka baadae. Nakutakia kila laheri ktk kupata ufumbuzi wa nini kifanyike
 
Last edited by a moderator:
Nyota ya huyo X wako mwenyezi Mungu ameielekeza katika familia yenu kwa vile wewe tayali umishapata mume ieshimu ndoayako hiyo nafasi mwachie mdogo wako jambo jingini hapa hakuna siri tena kwani yote umeisha yatoa uwanjani hapa Jamiiforums kila mtu amekujua japo sio kiundani zaidi na si kwa makusudi nafasi mwachie mdogo wako yeye atakuwa anakusimulia utamu uliomwachia kama ulivyomwachia ziwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Wakati wewe ilitokea, mimi nipo kwenye ndoa. Shemeji yangu anakuja juu kuzidi dada ake. Nipo nachanga karata, moja aikai mbili aikai
 
Mi nshaona watu wanapindua dada zao wanaolewa wao...wewe unawaza X kumuoa mdogo wako

Sioni tatizo..kaa kimya waache waendelee..tena uzuri huna feelings nae.

Ila hapo ndio unakuja umuhimu wa kuwatambulisha boyfriends kwa ndugu haswa wa karibu. Yani ina maana mdogo wako alikuwa hajawahi ona hata picha?
 
Ushauri wa watu numeusoma ila naona tumemsahau na mume wako je akijua itajuwaje?
mumeo ataelewa au ndio hutakaa uende kwa mdogo wako kuhofia ndoa yake.
mmmm huyo mvulana alivutiwa sana na kwenu au na mdogo wako alikuwa akimfaham mda mrefu akasema nimemkosa dada lazima nimpate mdogo wake????
Ila ujue ukimwambia mdogo wako ujue kabisa na mumeo atajua na ndugu wa mume then mtaonekana kituko wewe na shemeji yako wengine watahisi yule kaka kapanga ili awe anamla mtu na dada yake. pole sana ila fikiria sana kabla ya kuamua lolote.

Nimependa hapo red, tena akikuta mdogo fyatu anaweza naye atembee na mume wa dada yake kufanya ngoma droo, ooho chezea mapenzi weye!

Just keep it a secret as it is now!
 
Hongera dada mpaka ukalileta jamvn ulitafakar, ushaur wangu we angalia maisha yako we n mtu na familia yako, kaa na shem ujenge msingi wenu na wala ucrud nyuma kwan ulipofunga ndoa hukuwaza kurud nyuma ucidanganyke tamaa mbaya wanao wanakutegemea miaka ya mbele mshrikiane na baba kuwalea. kamwe ucgeuke songa mbele
 
Wakati mwingine lazima kukubali matokeo tu!

Mwaache ex wako amuoe mdogo wako! ilimradi kama hakuna tatizo lingine
Make him your shemeji!!

nA UNYAMAZE KIMYA usimwambie mdogo wako
By the way, si woite ameshawamega?
Kuna kurudi nyuma hapo?
 
Ukweli husemwa:


Nawe una mambo kwelikweli katika maisha yako.

Unaonekana ujana wako umeutumikia kwelikweli mpaka kupata mtoto wakati ukiwa form two.

Kwanza unaonekana unaichukia ndoa yako kama ulivyotujuza katika thread zilizopita mpaka inafikia unaota ndoto kila mara ukiwa unafanya mapenzi na bwana mwingine wakati umeolewa.

Moyo wako umekaribia kupasuka na kufa ganzi siyo kwa sababu mdogo wako ana mahusiano ya kimapenzi na mdogo wako bali ni kwa sababu bado unahisia za kimapenzi na x-lover wako. Kuna ka wivu furani kana ichoma roho yako.

Siyo swala lako wala halikuhusu kumwambia mdogo wako kama huyo bwana ni x-lover wako. Hilo ni jukumu lake kama ataamua kumwambia mdogo wako au la.

I hope you don't go around and cheat on your sister. I'm not sure, in fact, you have kissed stranger who came to train you at work and there's a possibility, you'll go back to your x-lover
 
Naunga mkono hoja ya kuacha harusi iendelee bila dosari.

Wakati mwingine lazima kukubali matokeo tu!
Mwaache ex wako amuoe mdogo wako! ilimradi kama hakuna tatizo lingine
Make him your shemeji!!
 
kwa hiyo nikae na hii siri rohoni ?

Bora hiyo!
Kuna kali! Jamaa alikuwa anadeal na mdada fulani niaka kadhaa iliyopita. Kwa ajili ya kutafuta maisha wakapotezana! Kuja kukutana mdada keshaolewa na jamaa keshaoa! Kila mtu kala hamsini zake! Bahati mbaya mke wa jamaa kafariki kwa ajali ka miaka 4 sasa. Kakutana na binti mbichi wakaanzaa naye! Unajua tena mambo ya shake well before use! Huyu binti kanasa na jamaa hana hiana anaoa. Wakapanga kuja kwanza kwa wakwe! La haula ni yule wake wa ubani miaka hiyo! Mama kakasirika ila anashindwa kusema mbele ya mista kuwa huyu alikuwa opponent wrestler! Hii yako cha mtoto tu bana!
 
Kwa vile umeruhusu maswali ngoja niulize
1.Vp ukimwona huyo X wako unajisikiaje?
2.je hujisikii nyege za kurudia kale kamchezo mlichochezaga enzi zile?
3.Wangapi kwenye familia yenu walikuwa wanajua uhusiano wenu?
jibu maswali yangu kwanza ili nikushauri vizuri mpendwa.
 
ile roho kkukaribia kupasuka na moyo kufa ganzi kwa sis watu waima tunajua ni nini kilikupata na nini kiko ndani ya nafsi yako hadi hivi sasa..hayo mengine ya kusema umeolew ana unampenda mumeo sijui nini ni maneno tu..but deep down unajua nini kiko ndani yako..

USHAURI

1. usiseme kwa yeyote yule kaa kimya hadi siku unazikwa ukiweza kupayuka payukia pale kaburini..

2. endelelea na ndoa yako na maisha yako

3. mpende mdogo wako na mumewe kwa moyo wako wote na akili zako zote.

4. usipende kulizungumzia hilo swala hata mbele ya huyo X BF wako ..onyesha tofauti kuwa sasa wewe ni mut mzima na uko ndani ya ndoa kitambo kidogo.

5. shirikiana nao katika hatua zote za harusi na hata baada ya harusi

6. amini kwamba aina ya maisha uliyochagua na unayoishi na mume uliye nae ndio aina ya maisha uliyopangiwa.

7. toka ndani ya moyo wako na katika ufahamu wako hakikisha unaliondoa wazo hilo lililootapakaa kichwani..itachukua mda but with time litasepa

8. si kila unayeokota nae kuni porini basi hata majivu mzoe pamoja..kwa wengine kama ilivyokutokea wewe huwa haitokei..just accept it.

9. usijite katika vishawishi juu ya mume wa mdogo wako maana waweza kuzini hata kwa mawazo tu.

10. ipende familia yako uliyonayo ...
 
Ukweli husemwa:


Nawe una mambo kwelikweli katika maisha yako.

Unaonekana ujana wako umeutumikia kwelikweli mpaka kupata mtoto wakati ukiwa form two.

Kwanza unaonekana unaichukia ndoa yako kama ulivyotujuza katika thread zilizopita mpaka inafikia unaota ndoto kila mara ukiwa unafanya mapenzi na bwana mwingine wakati umeolewa.

Moyo wako umekaribia kupasuka na kufa ganzi siyo kwa sababu mdogo wako ana mahusiano ya kimapenzi na mdogo wako bali ni kwa sababu bado unahisia za kimapenzi na x-lover wako. Kuna ka wivu furani kana ichoma roho yako.

Siyo swala lako wala halikuhusu kumwambia mdogo wako kama huyo bwana ni x-lover wako. Hilo ni jukumu lake kama ataamua kumwambia mdogo wako au la.

I hope you don't go around and cheat on your sister. I'm not sure, in fact, you have kissed stranger who came to train you at work and there's a possibility, you'll go back to your x-lover


ukiona mimi Edson nimekugongea like basi jua umeongea point sana...wewe ni mmoja wao..hata mi nimewambia kuwa ..ile moyo kufa ganzi na roho kupasuka kwetu watu wazima tunajua ni nini kimo ndan ya moto wako..hata hvyo bidada anaonekana alitumika sana katika usichana maana thread zake..lol!!
 
hayo siyo mageni hapa duniani. yamewapata wengi, na hawasemi tu. Kaa kimya, yaone ya kawaida. yaliyopita yamepita, ubaki ushemeji tu, ili mradi msije kukumbushia.
 
condorezaraisi vipi siku hizi ulifanikiwa kubalance maisha ya ndoa yako na mumeo kuwa 50/50 maana kuna mtaalamu mmoja alikwambia kuwa wewe una 75% ya mapenzi ya mumeo na kuwa unaichukia sana ndoa yako..hahahahaha.. nimecheka kwa sababu kama bado unaichukia ndoa yako na sasa umemuona xbf wako na roho imekaribia kupasuka na moyo ulikufa ganzi napatwa na mashaka kuwa unaweza kumrubuni mume wa mdogo wako...naikumbuka sana thread yako hii
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/187992-naichukia-ndoa-yangu.html
 
Last edited by a moderator:
Huyo X wako mlisha fanya naye sex ?

Kama hujafanya naye sex sidhani kama shida.

Ndo mana vitabu vya dini vilikataza kufanya sex kabla ya ndoa, hayo ndo madhara yake, pole sana.

watakuwa walifanya tu,cha muhimu waweke bayana mambo yao then waanze upya
 
kwa hiyo nikae na hii siri rohoni ?
Roho gani unayoongelea wewe?? ushafunguka JF ....cha msingi funguka kwa mdogo wako na ajue kilichotokea unless otherwise siri itakutafuna kidogo kidogo mpaka itafika point you can't take it no further na innawezekana ikawa too little too late...do the right thing while there is still the light dont wait for the dark....nimemaliza
 
Back
Top Bottom