REFA WA JF
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 170
- 402
Wadau wa kataa ndoa sipo nanyi tena.
Nimeshapata wakufaana naye,mwezi ujao nafunga pingu za maisha.
Nimeshapata wakufaana naye,mwezi ujao nafunga pingu za maisha.
Hahahhhh mkuu mbona kama una mtisha.Wachaaa weeee umepata jiko au sio, nenda likakuunguze......
Vp. Mtoto ?33 yrs old bila mke hatar
Kijana bado huna akili ya kuishi na Mwanamke wewe, halafu humu hakuna anayekufahamu mambo ya wewe kuoa unatutangazia kwa kutaka nini ?wadau wa kataa ndoa sipo nanyi tena.nimeshapata wakufaana naye,mwezi ujao nafunga pingu za maisha.
Mbona mimi na 37 na bado nabonda huku nanyonga33 yrs old bila mke hatar
yupo 25 yrsVp. Mtoto ?
I mean at 33 hauna mtoto wa wewe kumzaa?yupo 25 yrs
Nina wawili mmoja wa kike mwenzake wa kiumeI mean at 33 hauna mtoto wa wewe kumzaa?
Mpaka kifo kiwatenganishe kila la kheri mkuu.wadau wa kataa ndoa sipo nanyi tena.nimeshapata wakufaana naye,mwezi ujao nafunga pingu za maisha.