Haya sasa, aliyeonyesha dole msafara wa Trump afukuzwa kazi!

Nyani Ngabu SHERIA GANI INAYOSEMA MWAJIRI ANAWEZA KUMWACHISHA KAZI MFANYAKAZI BILA SABABU?

ANY TERMINATION OF EMPLOYMENT CONTRACT SHALL BE SUBSTANTIVE AND PROCEDURAL FAIR.
 
she was not fired because she flipped him off (kamwonyesha dole la kati). she has been fired because she posted the picture on a her social media account. and it's only because Virginia has "at will" employment laws where you can fire any body even for frowning at the boss. ingekuwa state nyingine she wouldn't have been fired.

Don't make it look like DP said she must be fire. hao mashabiki aliowapata hapa are rightly placed and I were to speak for them I'd say no backing off. zimeni hizi kiki.
Kuna walakin hapo.
 
Na hii ndiyo hoja kina Magonjwa Mtambuka na Mwenzake Barbarosa hawaioni. Lakini pia aliyefanya hivyo siyo Trump wala Serikali bali ni Kampuni alimokuwa anafanyia kazi, jambo ambalo ni la kibinafsi zaidi kuhusu mtazamo wa huyo mwenye hiyo Kampuni.

Jambo la kutia moyo ni kwamba kwanza huyo mwana mama hakukamatwa kwa "kuingilia" huo msafara. Hakukamatwa na Polisi wala walinzi wa Rais kwa kitendo chake alichofanya. Sasa hao jamaa zetu watueleze kwa hapa Tanzania inawezekana ukafanya hivyo na ukabaki salama?

Sasa wanatakaje kuonesha kuna mfanano na Marekani wakati hapa kwetu watu wanakamatwa kwa kutofautiana tafsiri tu na serikali kuhusu Takwimu?
Mkuu hapa umemaliza tusubiri tena lingine kutoka kwa hawa jamaa wa chama chenye sura ubinadamu.
 
Hapa Trump na Serikali yake wamehusikaje? Mbona alikuwa anafanya kampuni binafsi iitwayo AKIMA na amefukuzwa kwa kuwa ile picha ya TUSI ilionekana kwenye akaunti zake za Twitter na Facebook? Acha kupotosha.

Quote:
According to the White House pool report, as reported in The Guardian, Trump's motorcade "overtook a female cyclist, wearing a white top and cycling helmet, who responded by giving the middle finger."

When the cyclist, Juli Briskman, went to work that Monday, she informed the HR department of her employer, government contractor Akima, that she was the woman in the now-famous photo.

The next day, she was fired. Akima said that because she had used the photo on her Facebook and Twitter accounts, she was in violation of the company's social media policy.

Kwa nini kafukuzwa kazi? Acha kuleta Hadithi ndefu, weka sababu hapa!
 
Kwa nini kafukuzwa kazi? Kwa kosa gani?

can you read? do you have the ability to read? read here again:

she was not fired because she flipped him off (kamwonyesha dole la kati). she has been fired because she posted the picture on her social media account. and it's only because Virginia has "at will" employment laws where you can fire any body even for frowning at the boss. ingekuwa state nyingine she wouldn't have been fired.

Don't make it look like DP said she must be fired. hao mashabiki aliowapata hapa are rightly placed and if I were to speak for them I'd say no backing off. zimeni hizi kiki.
 
Kwa nini kafukuzwa kazi? Acha kuleta Hadithi ndefu, weka sababu hapa!

wewe una kichwa chepesi sana. hiki ndicho walichosema mabosi wake: “They said, ‘We’re separating from you,’” Briskman told the Huffington Post. “‘Basically, you cannot have lewd or obscene things in your social media.”

sasa uko sio kuambiwa na Trump or anyone in the Government or Legislative or the Judiciary kuwa umefanya hivi sasa tunakufukuza kazi. hiyo ni discretion ya employer kwa sababu anaogopa atakosa soko la bidhaa zake sio kwa sababu katumwa na government. The democracy part of the whole saga remains intact. usitake kupotosha watu na vipolitics vyako vya rahisi rahisi hapa.
 
Eti Kenya huwezi kusogelea msafara wa Rais. Kwanini unataka tufanane na Kenya?????

Tunataka kufanana na the best case scenario, sio godawful Kenya, the least common denominator.

Ulitaka nifananishe na mbinguni kwa Mwenyezi Mungu?..napo kuna mashetani wangekuja uliza kwanini sijafananisha na kwao!..Have even a little reasoning capacity.

Sugu aliwaambia bungeni C.C.M. wamepiga marufuku TBC kuonyesha bunge wakitoa mfano wa Vietman sijui Malysia bunge nako halionyeshwi. Sugu ambae ana exposure ya kuishi mbele akawaambia are you crazy or what? Kuna nchi ngapi duniani, kwa nini mnatulinganisha na Vietnam na Cambodia?

Sijaelewa ulitaka hizo point za sugu zinaingiaje na nilichosema.

Eti hata Kenya huwezi kuingilia msafara wa Rais, nani kasema tunataka kuingilia msafara wa Rais?

Hizo zinaitwa best scenario cases wana predetermine attacking angles kabla hazijatokea, kuna rais gani sijui aliwahi sogelewa na mwananchi mkasema walinzi hawapo makini!..
Mwananchi kusubiri barabarani masaa mawili wakati Rais bado yuko bafuni Ikulu is selfish tyranny!
Where is that applicable?..
 
Yan ww mtoa mada umeshindwa hata kusoma hiyo source, kabla hujaiwakilisha , sababu ya kufukuzwa kaz wala cyo kumuonyesha rais dole, kasome tena, u'v 2 enclosure ur thread b4 publicizing

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Kwa iyo kafukuzwa kazi tu..?uku wangemng'oa meno,kucha na macho bila ganzi au wange m-Tundu Lissu hadharani bado wana demokrasia jaribu wewe kwa Zakayo Mtoza Ushuru uone kama utafukuzwa tu kazi wanaomkosoa tu wanaishia jela.
 
Watu walisifia kwasababu hakuchukuliwa hatua yoyote na serekali au polisi. Kufukuzwa kazi ni maamuzi ya kampuni.
Freedom of Speech...not freedom from consequences. Huyo mama ana uhuru wa kijieleza na hiyo kampuni ina uhuru wa kumtimua kazi.

itakuwa mmesahau ule usemi wa Idd Amini Dada,
I can guarantee the freedom of speech but I'm not sure if I can guarantee the freedom after the speech.
 
Na hii ndiyo hoja kina Magonjwa Mtambuka na Mwenzake Barbarosa hawaioni. Lakini pia aliyefanya hivyo siyo Trump wala Serikali bali ni Kampuni alimokuwa anafanyia kazi, jambo ambalo ni la kibinafsi zaidi kuhusu mtazamo wa huyo mwenye hiyo Kampuni.

Jambo la kutia moyo ni kwamba kwanza huyo mwana mama hakukamatwa kwa "kuingilia" huo msafara. Hakukamatwa na Polisi wala walinzi wa Rais kwa kitendo chake alichofanya. Sasa hao jamaa zetu watueleze kwa hapa Tanzania inawezekana ukafanya hivyo na ukabaki salama?

Sasa wanatakaje kuonesha kuna mfanano na Marekani wakati hapa kwetu watu wanakamatwa kwa kutofautiana tafsiri tu na serikali kuhusu Takwimu?

hivi umejaribu fuatilia hata kidogo kujua hiyo kampuni ya ushauri inamilikiwa na nani?

na kwa nini huyo mwalimu wa Sunday school amefukuzwa?
 
Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!

Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, lkn wakati huwo huwo hao wanaosifia kwamba ni demokrasia hakuna alitetayari kumuonyeshea Babake kidole cha kati.

Source: Woman who gave Donald Trump the middle finger fired from her job
Huu ndio uongo, una hakika gani kama baba zetu au zao hawaoneshewindolw nawe huishi pamoja nao/nasi
 
Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!

Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, lkn wakati huwo huwo hao wanaosifia kwamba ni demokrasia hakuna alitetayari kumuonyeshea Babake kidole cha kati.

Source: Woman who gave Donald Trump the middle finger fired from her job
Hujaleta habari ya maana, bado kuna tofauti kubwa sana na hapa kwa wasindikizaji mzee...
 
Back
Top Bottom