Haya sasa, aliyeonyesha dole msafara wa Trump afukuzwa kazi!

Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!

Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, lkn wakati huwo huwo hao wanaosifia kwamba ni demokrasia hakuna alitetayari kumuonyeshea Babake kidole cha kati.

Source: Woman who gave Donald Trump the middle finger fired from her job

Hili tukio linasaidia nini katika kukuza uchumi wako binafsi? Au tukio hili lina mchango wowote kwenye sera yenu mbovu yenye upofu na uziwi ya Vi -wonder?

Hujui kilichoandikwa wala hujui kusoma (believe me hayo ni mambo mawili tofauti)

Pole sana kwa stress.
 
Huku akiwa anapita mtukufu JPM hata nzi tu anasogezwa kando ya barabara..... inshort kwa huyu mama seems inshu kubwa kwake si kufukuzwa kazi tena hapo even usa wengi walifurahi kwa kuwasililisha hasira zao dhidi ya trump..
 
Kufukuzwa kazi hapo nnaweza kumsupport muajiri wake kwa kuwa ingemharibia image ya kampuni.

Ila tukiangalia hili suala bado ni tofauti sana ingekuwa kafanyia Africa. Maana kwa kuonyesha tu kidole lazima angefunguliwa mashtaka na hata dhamana kunyimwa.. Pia kipindi ambacho atakuwa lupango lazima awe anajiuguza majeraha yaliyosababoshwa na kipigo kutokana na hicho kidole alichomuonyeshea mkuu wa nchi.

Ila all in all kwa wenzetu bado wana uhuru sana wa mtu kutoa maoni yake tofauti na nchi zetu za kiafrica
 
Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!

Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, lkn wakati huwo huwo hao wanaosifia kwamba ni demokrasia hakuna alitetayari kumuonyeshea Babake kidole cha kati.

Source: Woman who gave Donald Trump the middle finger fired from her job
Nilidhani kakutana na watu Wasiojulikana!
Haina uhusiano na Siasa!
 
Hakufukuzwa kwa kumuonyesha dole Trump.

Amefukuzwa kwa ku violate social media code of conduct ya kazini baada ya ku post picha hii kwenye profile yake.

Maana yake hata angetoa dole hivyo kwa muuza kahawa, angeweza kufukuzwa.
 
Back
Top Bottom