mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,843
Watu hamtoki mwanza. Lakini mnamshobokea magufuli.
Nyie mko kazini sisi wengine hapa ni sehemu ya kukuza ufahamu wetu!!Akina Salary Slip na Allen Kilewella wamejificha. Wanaogopa kutokea hapa.
Na alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni binafsi. Ni sawa aliyefanya hivyo kwa hapa kwetu awe anafanya kazi kwenye Kampuni ya Abdalah Bulembo, unatarajia nini kitatokea?Kufukuzwa kazi vs kupotezwa
Na hii ndiyo hoja kina Magonjwa Mtambuka na Mwenzake Barbarosa hawaioni. Lakini pia aliyefanya hivyo siyo Trump wala Serikali bali ni Kampuni alimokuwa anafanyia kazi, jambo ambalo ni la kibinafsi zaidi kuhusu mtazamo wa huyo mwenye hiyo Kampuni.Kwanza huku Tz Raisi akiwa anapta huwezi katiza barabara hadi apite ukidhubutu utaitambua dunia ama kupoteza maisha
mkuu Bumunda duh la ndizi au umenikumbusha mbali sana!!Story bila barua ya kufukuzwa tukueleweje wewe bumunda???
kwahyo ulitaka wamshobokee wa singida au kutoka arusha/moshi?...Unaamua kuonyesha ukanda kabisa sio, Mkikosa point mnabwabwaja tuu!!..Watu hamtoki mwanza. Lakini mnamshobokea magufuli.
Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!
Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, lkn wakati huwo huwo hao wanaosifia kwamba ni demokrasia hakuna alitetayari kumuonyeshea Babake kidole cha kati, ...
Mkuu hata akiingia Lissu leo akawa Rais wa JMT hautaweza ingilia msafara wake kiurahisi hiyo ni security detail inavyotaka!..ulinzi wa POTUS sio sawa na ulinzi wa Rais wetu!..Hata hapo Kenya hawawezi sogelea msafara kiasi hicho!..Jambo la kutia moyo ni kwamba kwanza huyo mwana mama hakukamatwa kwa "kuingilia" huo msafara. Hakukamatwa na Polisi wala walinzi wa Rais kwa kitendo chake alichofanya. Sasa hao jamaa zetu watueleze kwa hapa Tanzania inawezekana ukafanya hivyo na ukabaki salama?
Mkuu hata akiingia Lissu leo akawa Rais wa JMT hautaweza ingilia msafara wake kiurahisi hiyo ni security detail inavyotaka!..ulinzi wa POTUS sio sawa na ulinzi wa Rais wetu!..Hata hapo Kenya hawawezi sogelea msafara kiasi hicho!..
Labda nionyeshe security detail ya Rais gani wa Africa inayoweza kusogelewa hivyo!..
Mimi ni kamanda wa ufipa.Nyie mko kazini sisi wengine hapa ni sehemu ya kukuza ufahamu wetu!!
Halafu siku hizi sijui umekuwaje, umetoka kuwa mfuasi wa chama chenu umekuwa mshabiki uliyezibuka. Kulikoni?
Hapa Trump na Serikali yake wamehusikaje? Mbona alikuwa anafanya kampuni binafsi iitwayo AKIMA na amefukuzwa kwa kuwa ile picha ya TUSI ilionekana kwenye akaunti zake za Twitter na Facebook? Acha kupotosha.Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!
Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, lkn wakati huwo huwo hao wanaosifia kwamba ni demokrasia hakuna alitetayari kumuonyeshea Babake kidole cha kati, ...