Haya ni yaukweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ni yaukweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by makomimi, Jan 18, 2012.

 1. m

  makomimi Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini watu wanaamini kuwa kuna baadhi ya makabila ukioa au kuolewa nayo ni taabu tupu. Mfano watu wengi wanaamini ukiolewa na mkurya au ukioa mkurya kipigo kwao huwa ni chakufikia yaani ni kama ishara ya upendo kwahiyo bila kumpiga au kupiga bado upendo haujaonekana. Pia wapo watu wanaamini kuwa ukioa mwanamke mpare, mnyiramba, mhaya na mmasai daima utambue hautakuwa pekeyako lazima kutakuwa na wapembeni kama mia hivi na ukijua hutakiwi kushangaa maana ndo desturi yao.
   
 2. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  tatizo watu tunalambishwa sumu ambayo hatuijui na tunakubali huo mtazamo umepitwa wakati ni muda muafaka wa kufanya mapinduzi ya kifikra,tabia ya mtu si ya jamii nzima au kundi zima hiyo ni ya kwake:A S embarassed:
   
 3. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160

  Mmmmh yu might mean mabondia au washabiki wote wa ndondi ni wakurya......au wakurya ni mabondia wazuri koz wao kupigana ni cultural na ishara ya upendo???? then best friends wa kikurya wangepigana saaaanaaaaaa kila kukicha
   
Loading...