Mzizi Mkavu
Matunda haya/maboga ndiyo yamenikuza. aina hii huwa tunakula na kijiko kwani yana koka gumu na yapo mengine hayahitaji kijiko. enzi za utoto wangu tumeyalima sana ilikuwa ndio lunch yetu ya mara kwa mara, tukibadilisha sana tumekula ndizi, tukibadilisha tumekula magimbi au viazi lakini zaidi sana maboga tumekula sana.
Mbegu zake ndio ilikuwa tunaweka kwenye mboga kama mafuta, tukikosa mbegu za hii tunaweka alizetu za kukaanga na kusaga. huu ubwabwa na maugali nimekula sana nilipokuja mijini hasa dsm. umenikumbush ambali zana.