Sawa nimekaa Kwa kutulia mkuuTulie Upewe Undani cha nini kilitokea Kutoka kwa Ansbert Ngurumo.
Mzee Ngurumo kumbe alikuwa rafiki wa Membe?Kwa hiyo Membe ndio alimtuma aandike kitabu?Kumbe Mzee Ngurumo JPM alipokufa ulifurahi sana.Lakin Membe unasikitika sana.Mzee Ngurumo ,Tulia sindano ikuuingie vizuri.Kwa marlezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;
Watu buana
Kwani hamjui ya kuwa kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima siku moja atakufa?
Hamjui ya kuwa kila linalotokea yeye Mungu aliye muumbaji wetu ndio mwenye kibali cha kuruhusu kifo na kuhuisha?
Tuache kuingilia kazi za Mungu
Lala salama mzee wetu Bernard Membe
Umemsikiliza vizuri? Yote hayo kayasema kwamba binadamu wote tutakufa ila kuna vifo vingine anasababisha yeye mwenyewe mwnadamu au anasababishiwa ,akatolea mfano Muandishi Josephat Isango alifariki watu wengi wanajua ni kifo cha kawaida tu kumbe ni kwamba alipuliziwa Sumu ikaenda kuharibu mapafu.....The same inavyoonekana kwa Membe.
Mzee Ngurumo kumbe alikuwa rafiki wa Membe?Kwa hiyo Membe ndio alimtuma aandike kitabu?Kumbe Mzee Ngurumo JPM alipokufa ulifurahi sana.Lakin Membe unasikitika sana.Mzee Ngurumo ,Tulia sindano ikuuingie vizuri.
Wapo wanaosema pia kwamba huyo wa awamu ya5 alisababishiwa
Mambo mengine tumwachie aliyetuumba tuu
Ukimsikiliza wewe inatoshaUmemsikiliza vizuri? Yote hayo kayasema kwamba binadamu wote tutakufa ila kuna vifo vingine anasababisha yeye mwenyewe mwnadamu au anasababishiwa ,akatolea mfano Muandishi Josephat Isango alifariki watu wengi wanajua ni kifo cha kawaida tu kumbe ni kwamba alipuliziwa Sumu ikaenda kuharibu mapafu.....The same inavyoonekana kwa Membe.
Ukimsikiliza wewe inatosha
Wazuri hawafi
Mwanangu hunaga nidhamu sana, leo umetulia???🤣🤣Sawa nimekaa Kwa kutulia mkuu
nawe kaache mambo ya uganga wa kienyeji, katafute kazi ya kufanya.Kwa marlezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;
Ndio mkuu King Kong III akisema sina budi kutiiMwanangu hunaga nidhamu sana, leo umetulia???🤣🤣