mabadiliko4015
Member
- Oct 14, 2015
- 6
- 12
Best advice everInaonekana huyo G wako ni mfumo wa maisha fulani ulimbadilisha lakini anaonekana ni mtu kwa kubadilika bila malumbano(kulingana na mwandiko wako).
Cha kufanya,tengeneza ukaribu wa yeye na wazazi wako ili wapate imani nae..matendo mazuri ni hazina...hakikisha mkiwa mnaenda kwa wazazi awe anavaa kiheshima tu Haitompunguzia kitu itamuongezea thamani.
Hakuna Baraka kwenye nyumba ambayo wazazi wako hawajaibariki.
Hakuna binadamu mkamilifu,mapungufu tumeumbiwa sisi gud thing ni kwamba G anaonekana yuko tayar kubadilika.ni muda tu taratibu mambo yatakaa sawa.
Afanye sehemu yake kama mwanadamu mengine amwachie Mungu atarekebisha taratibu.
A jitahidi kuwa karibu na mama ili kumletea imani katika familia.asiache kuwapelekea zawadi mnapoenda kuwaona wazazi.akifika nyumbani kwa wazazi ajichanganye kama mwanamke na sio kukaa tu amening’iniza mikucha kama ngiri akisubiria kila kitu afanyiwe.
Mungu awatangulie nyote wawili upendo kwa pande zote mbili utawale
Kunguru afugikiInaonekana huyo G wako ni mfumo wa maisha fulani ulimbadilisha lakini anaonekana ni mtu kwa kubadilika bila malumbano(kulingana na mwandiko wako).
Cha kufanya,tengeneza ukaribu wa yeye na wazazi wako ili wapate imani nae..matendo mazuri ni hazina...hakikisha mkiwa mnaenda kwa wazazi awe anavaa kiheshima tu Haitompunguzia kitu itamuongezea thamani.
Hakuna Baraka kwenye nyumba ambayo wazazi wako hawajaibariki.
Hakuna binadamu mkamilifu,mapungufu tumeumbiwa sisi gud thing ni kwamba G anaonekana yuko tayar kubadilika.ni muda tu taratibu mambo yatakaa sawa.
Afanye sehemu yake kama mwanadamu mengine amwachie Mungu atarekebisha taratibu.
A jitahidi kuwa karibu na mama ili kumletea imani katika familia.asiache kuwapelekea zawadi mnapoenda kuwaona wazazi.akifika nyumbani kwa wazazi ajichanganye kama mwanamke na sio kukaa tu amening’iniza mikucha kama ngiri akisubiria kila kitu afanyiwe.
Mungu awatangulie nyote wawili upendo kwa pande zote mbili utawale
Ni bora shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua.Kunguru afugiki
Muoneni huyu..😅😅😅unasemaje J...??Tafuta pesa mkuu. Mbona wazazi watamkubali tu kwa nguvu.
Inaonekana huyo G wako ni mfumo wa maisha fulani ulimbadilisha lakini anaonekana ni mtu kwa kubadilika bila malumbano(kulingana na mwandiko wako).