haya ni mapenzi au

haya ni mapenzi au

Nzenzu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
858
Reaction score
164
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi
 
Pole sana,inavyoonekana hajui anachokimic kutoka kwako au yeye mwenyewe ni mwoga!...
 
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi
<br />
<br />
dont swallow those "milk" may be it can help
 
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi
Pole, sijawahi kusikia hii kitu.. Jaribu kufanya utafiti labda kuna ukweli ndani yake..usianze kumlaumu kwanza...
 
Kwani wewe tatizo lako ni nini? Denda kitu gani mbona kutopigana denda ni kawaida tu?
Ila wakati mwingine denda ina raha yake!
 
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi

hahaha pole shost kwani hamuaminiani? sidhani kama kumpa denda ndio kutamtoa vidonda,umekua nyoka kama mate yako sumu?
au hajazowea anaogopa utamtafuna ulimi?
 
Hiyo nayo kali!ila ni vitu vya kawaida sana katika mahusiano kwani si kila mtu anapendelea denda kwa hiyo haimanishi kuwa eti hakupendi!
 
Raha ya denda unyonye, tatizo la mabinti huwa wanayatemea midomoni!!!!!
 
Mh..mbona utani wako serous?🙁
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi
<br />
<br />
 
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi

Hiki kitu ni kweli. Mm imeshanitokea nilipiga lita , baaada ya siku 5 nikatoka vidonda kooni. Ni kweli si uongo, sometimes mate ya mtu yanaweza kukuletea infections kooni.
 
Mdomoni kuna bacteria wengi sana, sasa mnapopeana denda hapo ni kubadilishana bacteria huenda bacteria wako wanamletea infection mwenzio.
 
Kuna watu hii dhana ya kubusu hawajaielewa,midomo ikigusana tu anakumiminia mate hata glasi inaweza kujaa,badilikeni wajameni Khaah!
 
Kwa kweli vumilia 2, au pengine amehofia kukueleza kuwa labda usafi wa mdomo wako haumridhishi, jaribu kulitazama hilo. Na pengine hapend bac mwache maana mapenz kuridhishana na co kukerana!
 
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi
Ameshakustukia hupigi mswaki!
 
Back
Top Bottom