Hivi katika hali ya kawaida kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaambukiza wengine virusi vya Ukimwi kwa makusudi. Nini kinasababisha mtu kuamua kusambaza virusi vya Ukimwi kwa makusudi?swala la kapuya tusihusishe na hoja yangu.
Hivi inawezekana mtu akakuambukiza ukimwi bila wewe kumwekea mazingira ya kukuambukiza? without your concent?
Labda kama ni kwa kubakwa au kukudungwa sindano yenye virusi.