Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Kutesa kwa zamu babuu
Wakati hajaoa alikuwa anaringa, sasa zamu ya mke kuringa
Yaani mie limbwata namnywesha bila huruma
Wakati hajaoa alikuwa anaringa, sasa zamu ya mke kuringa
Yaani mie limbwata namnywesha bila huruma
Wanawake wabaya nyie...mkiwa mnatafuta wachumba huwa mnakuwa wapole....
Mara "Oohh mi nataka mwanaume jentomani nikitembea naye mtaani nionekane mwanamke katika wanawake", lakini mkishaingia ndoani hakuna sangoma mnaacha kumjua...ptuuuu!!!
Sasa mwanume hapo anaonekana jentomani au ndio mnamdhalilisha tu mwanakwetu???