Namsubiri pia mkuu
Nimeshayabeba Mkuu! Nimekuta na madini mengine yana rangi ya kijani na Zambarau hivi, yenyewe yana ukubwa kama wa Kokoto.
Yanafahamika kama amethyst lkn bado hayajafikia kwenye ubora...ni Low qualityView attachment 530467 View attachment 530468 Nimeyakuta mkoani huku!
mkuu kilo nzima ya hiyo kitu unaweza ukakosa ofa hata ya elfu tano.Nimeshayabeba Mkuu! Nimekuta na madini mengine yana rangi ya kijani na Zambarau hivi, yenyewe yana ukubwa kama wa Kokoto.
View attachment 530467 View attachment 530468 Nimeyakuta mkoani huku!
Mkuu hayo ya Zambarau ilokoza pia nnayo Sample, nimeyaosha ngoja baadaye ntaweka picha hapa?mkuu kilo nzima ya hiyo kitu unaweza ukakosa ofa hata ya elfu tano.
achana nayo!
yanatakiwa kuwa zambarau iloyokoza sana.......
yanaitwa amethyst.
Yanaitwa makinikia.
Mkuu! Ngoja niweke picha ya hayo mengine ya Zambarau, yenyewe ni Makubwa kuliko haya, na yana rangi tofauti, Zambarau ilokoza sana, iliyopauka, na rangi zingine zinaonekana kama light green n.kHayo ni white QUARTZ, Crystal shape. kama moja lina kuanzia nusu kilo ni biashara, kama jiwe moja lina kilo 1 bei ya mwaka 2012 wkt nayachimbaa ilikuwa tsh 20000, likiwa na kilo nyingi ndivyo na bei iazidi kuwa juu, ilimradi yawe clear kiasi kwamba unaweza kusoma gazeti ukiweka juu yake. Kama yako makubwa makubwa uniambie uko mkoa gani ili nikutafutie soko
Yakiiva vizuri yanakuwa kama yamechongwa. Yanang'aa sana. Maeneo uliyoyapata kutakuwa na madini ya almas japo si lazima.mkuu kilo nzima ya hiyo kitu unaweza ukakosa ofa hata ya elfu tano.
achana nayo!
yanatakiwa kuwa zambarau iloyokoza sana.......
yanaitwa amethyst.