Hahahahahaa nashukuru kwa kuliona hilo.kwanza hiyo picha haifanani na domondo yaani uharibu mwili kujichora katuni isiyojulikana kama ni sura ya nani ,
Goti,? @nifah na weweKwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Kwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Kaandika utoto.....very unnecessary