Yanaitwa HIV.
Wivu bwana, HIV ipo hata kwenye ushungi, hivyo vitu vikali weweee
Madini haya yanaitwa "pajanites" yanapatikana kote nchini tanzania hasa kwenye miji mikubwa.Yanazungumzaga na kupenda sana kusema "baby, naomba 800,000/- ya kodi ya nyumba"