Haya ndo mapenzi yalivyo au?

Haya ndo mapenzi yalivyo au?

Mim ni mama nliyepo kwenye ndoa ya Kikristo,sasa mume wangu anapenda niwe nasagwa halaf huyo msichana anayenisaga awe anatulala wote yaan mapenz ya watu watatu.,Kwa hali ya kawaida mume wangu ananipenda sana na anasema anataka tufanye hvyo ili mim mke wake niinjoy zaidi mapenz..plz nishaurini hii ni kitu cha kawaida kwel? Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mh siamini hii kitu kama ni kweli...
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya JF...Njemba inataka 3some kwa raha zake dah!!!!! :twitch::twitch::twitch:

mhhh....mumeo ana pepo, usikubali kufanya huo uchafu tena uwe na msimamo.....ikibidi nenda ukapige magoti mbele za Mungu umwombee.
 
hebu muulze yeye anashndwa nn kukupa unachotaka kunako 6*6? hata haiingii akilin. USIKUBAL UFUSKA HUO, hamna mantik yoyote ya kufanya ushetan kama huo, jaribu pia kumchunguza huenda ana tatzo la kisaijolojia
 
Kama ndoa itaishia hivi, Mungu na anionyeshe mapema ili nibaki kama nilivyo. Khaaa! yaani mtu anataka mkewe apige threesome? Hata one night stand siwezi fanya ivyo.
 
Hana uwezo wa kukufikisha au?
Ndoa za kulazimishana,so kakuchoka au?
 
mhhh....mumeo ana pepo, usikubali kufanya huo uchafu tena uwe na msimamo.....ikibidi nenda ukapige magoti mbele za Mungu umwombee.

kwanini umsumbue Mungu bana kusikiliza kero za ajabu? Kwa style hii bora ndoa ife ata Mungu atakupigia makofi
 
Lo!
Kuna mambo duniani yanashangaza kweli kweli.
Pole sana mmama kwa tatizo hilo.
Mi nakushauri kumwona mchungaji ili akushauri wewe kwanza kabla ya kumshauri mmeo.
Ushauri huu haufai kwani mchungaji si binadamu kama wewe. Fanya utafiti na jaribu kushauri. Jamani tunasoma humu JF ambavyo watu wanalia kwa wake zao kwenda kutafuta ushauri kwa wachungaji (EFATHA etc).
 
Siku hizi hata ya firauni hayastaajabiwi!
Kuna mtu kasema humu ndoa ni taasisi ya kizamani na haiwezi kucope kwa maisha ya sasa. Nahisi naanza kumuamini!
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya JF...Njemba inataka 3some kwa raha zake dah!!!!! :twitch::twitch::twitch:
 
Amkubalie anaone atakavyoletewa mke mwenzie kisiasa. Hivi kwenye threesome condoms zinawezekana? ( The Boss ushauri tafadhali). Manake msagaji hakawii kudaka mimba na hii ikawa permanent venture.
Hana uwezo wa kukufikisha au?
Ndoa za kulazimishana,so kakuchoka au?
 
Last edited by a moderator:
Mim ni mama nliyepo kwenye ndoa ya Kikristo,sasa mume wangu anapenda niwe nasagwa halaf huyo msichana anayenisaga awe anatulala wote yaan mapenz ya watu watatu.,Kwa hali ya kawaida mume wangu ananipenda sana na anasema anataka tufanye hvyo ili mim mke wake niinjoy zaidi mapenz..plz nishaurini hii ni kitu cha kawaida kwel? Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Haya ndo madhara ya kutofanya ma-adventures ujanani,mwisho wa siku unataka kufanya na ur wife kwenye ndoa..!!

Dah,Pole sana,wenzake tuliwakuwa na bucket list enzi 2 zamani,hapo tulifanya almost karibu kila aina ya ma-adventures and ma-love fantasies, sasa hivi shwariiii tumetulia...:coffee:

My advice to u, mkatalie cuz u neva knw hiyo bucket list yake ina ma adventures gani,mwishowe atakwambia anataka 0713
 
TOBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kweli hizi ni nyakati za mwishoooooo! Yale ya firauni yameanza kutimia! Kiranga yale uliosema jana ya 3some yanatimia huku!

NASEMA HVI KAMA NDOA NDO HIZI BADO NIPO NIPO SANAAAAAAAAAA!

LARA1 UPO?
Hivi uliwahi kutuambia kuna rafiki yako Lecturer anamtaka Phd.kwahiyo anataka ushauri vipi alishamkubali au kumkataa tulitoa ushauri sana nakumbuka......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom