Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Hayo maneno ya kuwa hawana nguvu yapuuze kabisa, yanaenezwa na wa mikoani kwa wivu wao dhidi ya wa dar.
Usiombe kukutwa na nguvu za wala chips wa dar, hutakaa urudi tena mikoani![emoji12]
Yameungwa kwa kitunguu na mboga rafiki![emoji30][emoji30][emoji30]Hiyo kijani ni nini
Karafuu maiti.!Hiyo kijani ni nini
acha ubishi mkuu ya dar hayo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Haya si ya dar itakuwa wa mkoani alitaka kuiga ya dar ndo katia mbwembwe hzo.
Watu wa Dar wengi walikuwa wa mikoani zamani na hata sasa wa mikoani wengi wana ndoto ya kuwa wa Dar. Ila Mtu wa mikoani kumchukia wa Dar, hakutampunguzia huo uumkoani wake.Watu wa dar wengi wao laini laini mno
haswaaaMahindi ya dar yanaliwa kwa ndimu na pilipili[emoji23][emoji23]
ushahidi?????????Watu wa dar wengi wao laini laini mno
Hahahhahaahha mbona sion kitunguuYameungwa kwa kitunguu na mboga rafiki![emoji30][emoji30][emoji30]
mond anavaa vitenge halafu anapanda gari lake au we utakuja na ndinga mkuuWatu wa Dar bana mbona Mond anavyaa vitenge
Kwahiyo vitenge lazima uwe na ndiga harafu unataka nibane na suruali ili nioneshe nini Mimi mkuu.
Watu wa Dar wengi walikuwa wa mikoani zamani na hata sasa wa mikoani wengi wana ndoto ya kuwa wa Dar. Ila Mtu wa mikoani kumchukia wa Dar, hakutampunguzia huo uumkoani wake.
itakuwa hoho, au majani ya vitunguu majiππHiyo kijani ni nini
Hahahha hiyo kaliitakuwa hoho, au majani ya vitunguu majiππ
Watu wa Dar wengi walikuwa wa mikoani zamani na hata sasa wa mikoani wengi wana ndoto ya kuwa wa Dar. Ila Mtu wa mikoani kumchukia wa Dar, hakutampunguzia huo uumkoani wake.