The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #41 carbamazepine said: Hahaa Nimekukumbuka tu kwakweli,nafurahi kukuona bhana Click to expand... Thad mwenyewe naona yupo humu humu anapita tu kimya kimya, ametafuna mpunga anasema muamala hewa. Mtuhurumie basi wakati mwingine. Naamini uko vizuri kabisa rafiki.
carbamazepine said: Hahaa Nimekukumbuka tu kwakweli,nafurahi kukuona bhana Click to expand... Thad mwenyewe naona yupo humu humu anapita tu kimya kimya, ametafuna mpunga anasema muamala hewa. Mtuhurumie basi wakati mwingine. Naamini uko vizuri kabisa rafiki.
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #42 Hivi hiyo kesi yenu haijaisha bado?? Nafurah kusikia kama u mzima Samaritan said: Thad mwenyewe naona yupo humu humu anapita tu kimya kimya, ametafuna mpunga anasema muamala hewa. Mtuhurumie basi wakati mwingine. Naamini uko vizuri kabisa rafiki. Click to expand...
Hivi hiyo kesi yenu haijaisha bado?? Nafurah kusikia kama u mzima Samaritan said: Thad mwenyewe naona yupo humu humu anapita tu kimya kimya, ametafuna mpunga anasema muamala hewa. Mtuhurumie basi wakati mwingine. Naamini uko vizuri kabisa rafiki. Click to expand...
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #43 carbamazepine said: Hivi hiyo kesi yenu haijaisha bado?? Nafurah kusikia kama u mzima Click to expand... Kesi iliisha, sema anataka kuni blackmail. Si unaona bado ana chenji ya kununulia mahindi ya Dar?
carbamazepine said: Hivi hiyo kesi yenu haijaisha bado?? Nafurah kusikia kama u mzima Click to expand... Kesi iliisha, sema anataka kuni blackmail. Si unaona bado ana chenji ya kununulia mahindi ya Dar?
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #44 Thad hebu acha utapeli basi Samaritan said: Kesi iliisha, sema anataka kuni blackmail. Si unaona bado ana chenji ya kununulia mahindi ya Dar? Click to expand...
Thad hebu acha utapeli basi Samaritan said: Kesi iliisha, sema anataka kuni blackmail. Si unaona bado ana chenji ya kununulia mahindi ya Dar? Click to expand...
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #45 carbamazepine said: Thad hebu acha utapeli basi Click to expand... Ningemtapeli angenifungulia uzi kama sio nyuzi.
carbamazepine said: Thad hebu acha utapeli basi Click to expand... Ningemtapeli angenifungulia uzi kama sio nyuzi.
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #46 Samaritan said: Ningemtapeli angenifungulia uzi kama sio nyuzi. Click to expand... Mtumie muamala wa ukweli sasa hivi ili asahau ule wa kwanza
Samaritan said: Ningemtapeli angenifungulia uzi kama sio nyuzi. Click to expand... Mtumie muamala wa ukweli sasa hivi ili asahau ule wa kwanza
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #47 carbamazepine said: Mtumie muamala wa ukweli sasa hivi ili asahau ule wa kwanza Click to expand... Hivi mnanitaka nini lakini? Wakwanza wenyewe alitafuna mpunga, sasa nimtumie tena wapili, alaf mbona kama upo upande wake? Kwani wewe rafiki yangu au rafiki yake? hahahahahahahaaa
carbamazepine said: Mtumie muamala wa ukweli sasa hivi ili asahau ule wa kwanza Click to expand... Hivi mnanitaka nini lakini? Wakwanza wenyewe alitafuna mpunga, sasa nimtumie tena wapili, alaf mbona kama upo upande wake? Kwani wewe rafiki yangu au rafiki yake? hahahahahahahaaa
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,158 Jul 18, 2018 #48 mumu said: Mahindi yenye "vaitamins" zake,. Click to expand... Full pilipili hoho jaman ....kaazi kwelikweli
mumu said: Mahindi yenye "vaitamins" zake,. Click to expand... Full pilipili hoho jaman ....kaazi kwelikweli
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #49 Wa kwanza anasema ulirudisha muamala eti ulikosea namba ukamuacha na madeni,sasa inabidi utume mwingine tena u double amount ya ule wa kwanza. Mimi ni rafiki yako na rafiki yake pia Samaritan said: Hivi mnanitaka nini lakini? Wakwanza wenyewe alitafuna mpunga, sasa nimtumie tena wapili, alaf mbona kama upo upande wake? Kwani wewe rafiki yangu au rafiki yake? hahahahahahahaaa Click to expand...
Wa kwanza anasema ulirudisha muamala eti ulikosea namba ukamuacha na madeni,sasa inabidi utume mwingine tena u double amount ya ule wa kwanza. Mimi ni rafiki yako na rafiki yake pia Samaritan said: Hivi mnanitaka nini lakini? Wakwanza wenyewe alitafuna mpunga, sasa nimtumie tena wapili, alaf mbona kama upo upande wake? Kwani wewe rafiki yangu au rafiki yake? hahahahahahahaaa Click to expand...
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,485 Reaction score 5,067 Jul 18, 2018 #50 Yaan nimepaliwa ile mbaya,nikashindwa kujizuia maaana hamna namna
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #51 carbamazepine said: Wa kwanza anasema ulirudisha muamala eti ulikosea namba ukamuacha na madeni,sasa inabidi utume mwingine tena u double amount ya ule wa kwanza. Mimi ni rafiki yako na rafiki yake pia Click to expand... Haiwezekani ukawa rafiki yetu wote. Weka upande wako. Kwani na wewe unatumia mahindi ya Dar? Ule muamala ku double inabidi nidundulize mishahara mitatu.....naona alikupiga fix asikugawie fungu. Ndio madhara ya kuwa na rafiki janja janja.
carbamazepine said: Wa kwanza anasema ulirudisha muamala eti ulikosea namba ukamuacha na madeni,sasa inabidi utume mwingine tena u double amount ya ule wa kwanza. Mimi ni rafiki yako na rafiki yake pia Click to expand... Haiwezekani ukawa rafiki yetu wote. Weka upande wako. Kwani na wewe unatumia mahindi ya Dar? Ule muamala ku double inabidi nidundulize mishahara mitatu.....naona alikupiga fix asikugawie fungu. Ndio madhara ya kuwa na rafiki janja janja.
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,557 Reaction score 19,107 Jul 18, 2018 #52 Madame S said: Hiyo kijani ni nini Click to expand... Rangi ya chama chetu,hahahaa...hujambo Madame? Muda wa kulala sasa huu
Madame S said: Hiyo kijani ni nini Click to expand... Rangi ya chama chetu,hahahaa...hujambo Madame? Muda wa kulala sasa huu
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,557 Reaction score 19,107 Jul 18, 2018 #53 Msukumakizazi said: Jamani hindi la kuchoma linawekwa salad!!!!!???? Click to expand... Huo unaitwa ubunifu chief
Msukumakizazi said: Jamani hindi la kuchoma linawekwa salad!!!!!???? Click to expand... Huo unaitwa ubunifu chief
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,601 Jul 18, 2018 #54 zeshchriss said: Full pilipili hoho jaman ....kaazi kwelikweli Click to expand... Yaani imesahaulika nazi tuu shogaa,.
zeshchriss said: Full pilipili hoho jaman ....kaazi kwelikweli Click to expand... Yaani imesahaulika nazi tuu shogaa,.
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,447 Jul 18, 2018 #55 Sesten Zakazaka said: Rangi ya chama chetu,hahahaa...hujambo Madame? Muda wa kulala sasa huu Click to expand... Sjambo za ww?? Nalala mda s mref nasubiri mtu aje tuagane
Sesten Zakazaka said: Rangi ya chama chetu,hahahaa...hujambo Madame? Muda wa kulala sasa huu Click to expand... Sjambo za ww?? Nalala mda s mref nasubiri mtu aje tuagane
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,557 Reaction score 19,107 Jul 18, 2018 #56 Madame S said: Sjambo za ww?? Nalala mda s mref nasubiri mtu aje tuagane Click to expand... Mimi niko poa kabisaa Mpe Hi
Madame S said: Sjambo za ww?? Nalala mda s mref nasubiri mtu aje tuagane Click to expand... Mimi niko poa kabisaa Mpe Hi
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,447 Jul 18, 2018 #57 Sesten Zakazaka said: Mimi niko poa kabisaa Mpe Hi Click to expand... Ayaa zimefika salaaam
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,158 Jul 18, 2018 #58 mumu said: Yaani imesahaulika nazi tuu shogaa,. Click to expand... Yaani doh
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,485 Reaction score 5,067 Jul 18, 2018 #59 Chinsali said: Haya si ya dar itakuwa wa mkoani alitaka kuiga ya dar ndo katia mbwembwe hzo. Click to expand... Kweli kabisa
Chinsali said: Haya si ya dar itakuwa wa mkoani alitaka kuiga ya dar ndo katia mbwembwe hzo. Click to expand... Kweli kabisa
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,378 Jul 18, 2018 #60 The different btn a trader(wa mikoani) and an entrepreneur(wa Dar).