Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 Jul 18, 2018 #21 Bujibuji said: Value added products Click to expand... Hakika huyu ni mjasiriamali haswa!
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #22 Thad said: Nitaachaje kuwatetea wakati ndio wananiweka mjini.... Click to expand... Naona umejitolea kuwa mtetezi wao
Thad said: Nitaachaje kuwatetea wakati ndio wananiweka mjini.... Click to expand... Naona umejitolea kuwa mtetezi wao
BigBaba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,908 Reaction score 9,041 Jul 18, 2018 Thread starter #23 Thad said: Huo nao ni ubunifu wa hali ya juu. Nasikia hata chips mayai asili yake ni Dar Click to expand... Inasemekana hivyo
Thad said: Huo nao ni ubunifu wa hali ya juu. Nasikia hata chips mayai asili yake ni Dar Click to expand... Inasemekana hivyo
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 Jul 18, 2018 #24 mumu said: Wooi,..anachonnogea pweza hana miba bwana..ana vipelevipele tuu mgongoni.. Click to expand... Ewaaaa! Kwahiyo ukikata vipande vidogo dogo ukavichomeka kwenye hindi vitanoga sana!
mumu said: Wooi,..anachonnogea pweza hana miba bwana..ana vipelevipele tuu mgongoni.. Click to expand... Ewaaaa! Kwahiyo ukikata vipande vidogo dogo ukavichomeka kwenye hindi vitanoga sana!
BigBaba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,908 Reaction score 9,041 Jul 18, 2018 Thread starter #25 fundi bishoo said: karibu dar Click to expand... Asante! Ulitakiwa uwe mwenyeji wangu unioneshe mji wa mzizima vzr
fundi bishoo said: karibu dar Click to expand... Asante! Ulitakiwa uwe mwenyeji wangu unioneshe mji wa mzizima vzr
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,917 Jul 18, 2018 #26 Nlinunua manzese nkashangaa napewa pilipili,limao na chumvi Acha niendelee kua Wa mkoani tu!
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,761 Jul 18, 2018 #27 BigBaba said: Asante! Ulitakiwa uwe mwenyeji wangu unioneshe mji wa mzizima vzr Click to expand... nauli yako tu na usiwe unavaa mabwanga wala nguo za vitenge mkuu
BigBaba said: Asante! Ulitakiwa uwe mwenyeji wangu unioneshe mji wa mzizima vzr Click to expand... nauli yako tu na usiwe unavaa mabwanga wala nguo za vitenge mkuu
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Jul 18, 2018 #28 Thad said: Ewaaaa! Kwahiyo ukikata vipande vidogo dogo ukavichomeka kwenye hindi vitanoga sana! Click to expand... Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,.
Thad said: Ewaaaa! Kwahiyo ukikata vipande vidogo dogo ukavichomeka kwenye hindi vitanoga sana! Click to expand... Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,.
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Jul 18, 2018 #29 Dreka said: Ndio bro. Kuna tatizo ? Click to expand... kitambo sana,nadhani hata nilikuwa sijielewi,yaani tangu that time until today kama haujawi kurudia kwenda huko ni kama haujawahi kwenda tu,maana kila kitu kitakuwa kimebadirika,kuanzia watu,majengo na mzingira tu kiujumla..
Dreka said: Ndio bro. Kuna tatizo ? Click to expand... kitambo sana,nadhani hata nilikuwa sijielewi,yaani tangu that time until today kama haujawi kurudia kwenda huko ni kama haujawahi kwenda tu,maana kila kitu kitakuwa kimebadirika,kuanzia watu,majengo na mzingira tu kiujumla..
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 Jul 18, 2018 #30 mumu said: Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,. Click to expand... Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake
mumu said: Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,. Click to expand... Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,570 Reaction score 94,853 Jul 18, 2018 #31 Acheni unafiki bana. Limao na pilipili vina shida gani kwenye muhindi? Mkila mnakuwa doro au?
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Jul 18, 2018 #32 Thad said: Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake Click to expand... Namm ngoja niende kwa mpemba,.hamu hii si ya kulala nayo kabisaaa,.
Thad said: Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake Click to expand... Namm ngoja niende kwa mpemba,.hamu hii si ya kulala nayo kabisaaa,.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #33 Thad said: Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake Click to expand... Ati! mahindi na supu ya pweza?
Thad said: Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake Click to expand... Ati! mahindi na supu ya pweza?
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 Jul 18, 2018 #34 Samaritan said: Ati! mahindi na supu ya pweza? Click to expand... Ndio! Nikipata nikuonjeshe?
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #35 mumu said: Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,. Click to expand... Hii ni balanced diet ama? naona mboga za majani, pulipili, ukwaju, maembe mabichi, ndimu, limau...sasa hapo ladha sijui ni ya mahindi au mchanyanto?
mumu said: Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,. Click to expand... Hii ni balanced diet ama? naona mboga za majani, pulipili, ukwaju, maembe mabichi, ndimu, limau...sasa hapo ladha sijui ni ya mahindi au mchanyanto?
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #36 Rafiki upo?? Samaritan said: Ati! mahindi na supu ya pweza? Click to expand...
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #37 Thad said: Ndio! Nikipata nikuonjeshe? Click to expand... Mie wa mkoani. Napiga viazi, karanga mahindi ya kuchemsha na chai ya rangi. Hayo mambo ya kupaka urembo nafaka hukohuko kwenu Dar.
Thad said: Ndio! Nikipata nikuonjeshe? Click to expand... Mie wa mkoani. Napiga viazi, karanga mahindi ya kuchemsha na chai ya rangi. Hayo mambo ya kupaka urembo nafaka hukohuko kwenu Dar.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 18, 2018 #38 carbamazepine said: Rafiki upo?? Click to expand... Nipo..hii salam hii, najua tu unachokitafuta. Leo jisahaulishe basi.
carbamazepine said: Rafiki upo?? Click to expand... Nipo..hii salam hii, najua tu unachokitafuta. Leo jisahaulishe basi.
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #39 Hahaa Nimekukumbuka tu kwakweli,nafurahi kukuona bhana Samaritan said: Nipo..hii salam hii, najua tu unachokitafuta. Leo jisahaulishe basi. Click to expand...
Hahaa Nimekukumbuka tu kwakweli,nafurahi kukuona bhana Samaritan said: Nipo..hii salam hii, najua tu unachokitafuta. Leo jisahaulishe basi. Click to expand...
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,617 Jul 18, 2018 #40 Umemkonyeza?? Thad said: Ndio! Nikipata nikuonjeshe? Click to expand...