Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,586
- 1,678
Mimi sioni shida kwa hili..Tumwache JK ajiliwaze tena baada ya kazi ngumu. Mbona Obama naye huwa anapiga za namana hii tu.
Watu kama hawa wenye akili ya sisimizi ndio waliompigia kura huyu joker. Wee unamfananisha Obama ambaye nchi yake haina tatizo la kukatika umeme na huyu ambaye zaidi ya asilimia 80 ya watu wake hawamudu milo miwili kwa siku? Unaridhia kiongozi wa nchi kama hiyo awe maoneshoni kwa saa 4? Hebu mfananishe yeye na marais serious waliomtangulia: jee Nyerere angekaa maoneshoni hata kwa saa 1 akitembea na kucheeza bao?
Muda wote huu najiuliza ilikuwaje Watanzania wamchague mtu immature kama huyu ambaye sio kwamba amezuka tu, bali alikuwepo katika madaraka all the way na wameshuhudia utendaji wake? Lakini leo napata jawabu kwamba huenda ni kuwa wengi Watanzania ni mbumbumbu, hawana uwezo hata wa kutambua 'cause and effects'.
Wao wanajua kulalamika tu juu ya athari lakini kamwe hawana uwezo wa kiakili wa kung'amua nini sababu yake. Ni lazima iwe hao nddio walio wengi katika jamii hadi kumpata mtu kama JK kuwa kiongozi.
Huyu Mheshimiwa alikuwa Wizara ya Nishati, Watz mliona aliyoyafanya huko. Akaenda hazina, utendaji wake pia huko mliuona. Baadaye akenda Wizara ya Mambo ya nje kwwa mwngo mzima na ushee, mkaona aliyoyafanya, still......mlikuwa mpaka afanye nini ndio mngejua ni kioja?
Endeleeni..............