Akipenda sana Jiving wakati huo Tanga Sec.Hivi huyu jamaa ujana wake alikuaje.
Unaifahamu??
Akipenda sana Jiving wakati huo Tanga Sec.Hivi huyu jamaa ujana wake alikuaje.
Signature yako tells a lot about you na ukilaza wako.
Hapo umemaliza ubishi mkuu, bora uwape somo hawa wavivu wa kufikiri.
Duh! anatakata, anakula nyumba, hamuwezi, anamtaji, anaondoka.....................
Sawa kaka, wenye akili na wanaojua kufikiri ni wale walio kimbia machafuko Pemba wakapata hifadhi Somalia!Tatizo lenu watanganyika mmesoma lakini hamkujua milipeleka wenzenu to shule ndio maana sisi millioni moja tunawapa changamoto nyie mijitu millioni 40 vichwa ngumu mnaonea fahari kuabudu mafuvu.
Silioni tatizo la JK au mmesahau mlipokuwa mkipanga foleni RTC kugombea sukari. na sasa kila kitu nje nje pesa yako tu, tatizo jengine watanganyika wavivu mnataka raha kimiujiza mkikosa mnatoa visingizio ooh JK dhaifu unataka akuletee maandazi kitandani? jitume kukabili changamoto zako.
Duh! anatakata, anakula nyumba, hamuwezi anamtaji, anaondoka.....................
Mkuu, hujawahi kucheza bao?apo kwenye red sijakupata mkuu
We baki na ukabila wako,sie tunasonga mbele. Umeona wapi mpemba anajina la majebere. Kajifunze historia wewe.Mpemba huyu kweli katuchoka. Lakini kuanza mbele kwenda kwao hawezi maana kule anaogopa kurogwa. Ngoja huu muungano ufikie tamati ndio mtajua wa Tanganyika ni watu aina gani. Na mkiondoka msisahau kubeba majini yenu maana huku bara hatuyahitaji. Pia msisahau kubeba nyumba na mashamba yenu kama mtaweza!!