Haya ndiyo maisha ya wana jf

hiyo ya mwisho na ya tatu kutoka mwisho sijazisoma
 
Hizi ni fikra zako tu ama kautafiti maana wabongo hata akimwona mtu mmoja kafanya jambo fulani basi amekamilisha utafiti.
 
hiyo ya mwisho na ya tatu kutoka mwisho sijazisoma
Ya mwisho :-
Tunapenda kujilisha maneno na kuamini kila kinacho patikana kwenye mitandao kama Google, jf, tweeter, Instagram nk.... kisha tunakua wakwanza kuyafikisha kwa dunia/ watu wengi kadiri tuwezavyo ili tuonekane tunajua.

Ya tatu kutoka mwisho:-
Ufukara ambao hutufikisha kutumia nguvu kubwa na maumivu kwa kupata mkate wa kila siku wa watoto wetu ilhali hatutaki kusimama tutoke pale tulipo na tukatafute kwa bidii
 
Hizi ni fikra zako tu ama kautafiti maana wabongo hata akimwona mtu mmoja kafanya jambo fulani basi amekamilisha utafiti.
Very simple mkuu.....
Hapo hakuna utafiti, zaidi ni picha zinazo zungumza aiseeee
 
Salute kwako ..mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…