Haya Ndio Yanayompeleka"ga" Huko!!

Hivi mbona sijawah kuona mkwele akipa kapga picha na king majuto au muhidin gurumo?
 
Kha nyie hebu mwacheni baba wa watu jamani.....hizi opportunity never come twice atii....lol
 
Fursa gani hizo??


Sasa ndugu yangu Katavi unafikiri hiyo fursa ataipata tena akimaliza upresident? hata kama akiipata haitamletea misifa kama wakati huu akiwa president

BTW afanye nini wakati umasikini hawezi kuushughulikia kutokana na kutojua sababu zake? mwacheni mzee kijana ajiachie bana
 
angalia mikono ya mkulu....hii ni photoshop
 
Ktk post hii u-great thinker u wapi? sioni kitu cha maana kinachojadiliwa zaidi ya porojo na utovu wa nidhamu kwa viongozi wa nchi!
 
No comments, picha inatia hasira lakini at the end of the day unaona bora ucheke tu :lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…