PgSoft2008
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 264
- 73
Nawakilisha,
Kuna habari zimenifikia mida hii kutoka chuo kikuu cha Tumaini college ya iringa kwamba hari si shwari kuhusiana na utaratibu mzima wa uendeshaji wa kozi zake na hasa upande wa kozi mpya ya IT (Bsc-IT) kwani kuna tifu kubwa baina ya lecturers na baadhi yao wamegona kabisa kufundisha majina tunayo.
Waliogoma wnadai program nzima inaendeshwa ndivyo sivyo ( ki siasa na kibiahara zaidi) na wahadhiri wa kitengo hicho hawaelewani kabisa kwani kila mmoja anafanya kazi kivyake na kozi nzima kuendeshwa chini ya standard. hakuna faculty meeting kwa staff wa kitengo hicho, kila mwalimu anaomba kinga kutoka kwa wanafunzi kivyakevyake, curriculum inayotumika kutokidhi matakwa na imekuwa ikibadilishwa kila kukicha, walimu wanaofundisha wengi wao hawana sifa za kufundisha, na eti wanasema program inaendeshwa kwa majungu.
reporter wangu amesema kwamba wanafunzi ndio waamuaji wa kipi kifundishwe na kama kigumu wanashauri eti kiachwe, mwalimu afundishae akijifanya mjuaji kufundisha hayo magumu anagomewa na pia kutafsiriwa vibaya na uongozi wa chuo.
mtafaruki mkubwa upo kati ya lecturer mmoja mzawa (jina kapuni) na lecturer mwingine kutoka finland (jina kapuni) kutokana na uendeshwaji mzima wa hiyo program mpya.
Hawa jamaa hawaelewani kabisa kwani kila kikicha wanatofautiana na kupelekana kwa uongozi wa chuo hicho. Walio karibu tunaomba ukweri wa jambo hili na kwa nini hawa watu wanatofautiana?
wanafunzi wa hiyo program mara nyingi Hufundishwa courses ambazo ni irrevant eti tu kwa sababu kuna mzungu anafanya either master research kwenye hiyo course au anataka kubaki akitalii kwa muda huo ili aonekane akifanya kazi muhimu ya ufundishaji, hakuna ufuatiliaji wa kina kuhusu qualification ya hao visiting students wanaofundisha wanafunzi wenzao na pia experience zao kwenye ualimu na ni kitu gani wanajua. kuna roumours kwamba sasa kuna wageni wa kuzungu kutoka finland ambo ni visiting lecturers wanaotaka kufundisha practical za some ongoing courses na inasemekana walipoulizwa nini wanajua kutoka existing course outlines inaonekana hawajui hivyo vitu. inzi wangu amasema sijui kwa nini hao watu wamekuwa wakipewa madarasa na kukuza CV zao kwamba wamefundisha african universities ili khari hawajui kitu au ndio kutafuta misaada kutoka huko?.
Inasemekana chanzo cha matatizo yote ni head wa hiyo program anayesema eti yeye ni professor na university inamtambua hivyo ( shhhh born in 1977). pamoja na wanafunzi wa mwaka wa pili ambao wengi wao walipatikana kwa njia ya mkato ili kufanya kozi hiyo ianzishwe pale ilipotaka kuanzishwa mwaka jana. Inzi wangu anariport kwamba wanafunzi hao wa mwaka wa pili wa hiyo program ni kituko na hawafundishiki kabisa hivyo wamekuwa mara kwa mara wakitafuta ushindi nje ya meza .... PLEASE FATILIENI HILI.
Inzi anomba wadau waliopo Iringa University College watupe ukweri kuhusu hili.
MAONI.
Mambi haya yanabidi yaangaliwe kwa kina kwani hapo ndipo tunapoaandaa wataalamu wa kesho, kufundihwa chini ya kiwango na kutopewa matrial sahihi sijui kunafanya tutegemee wataalamu gani. Nimeamini tutaendelea kuwa watumwa mpaka YESU ARUDI.