Ruaha Catholic university

ka washi

Member
Mar 9, 2022
38
32
Habar ya mda huu humu,

Bila kupoteza wakati napenda kuuliza, Hivi ni kwanii katika kutuma maombi ya kusoma kozi za afya kwa chuo cha Ruaha Catholic University maarufu kama (Ruccu) kilichopo mkoani Iringa ni lazima utume au ufanye maombi kwenye mfumo wa chuo moja kwa moja au ufike chuoni Ruccu na hata majibu yakitoka wanakupa wao wenyew(ruccu) tofauti na vyuo vingine?

Mfano Muhimbili maombi hayo hayo kwa kozi za afya ni lazima utume maombi nactvet(NATINAL COUNCIL FOR TECHNICAL AND VOCATIONAL EDUCATION AND TRAINING) katika mfumo wao wa CAS[CENTRE ADMISSION SYSTEM] na hata majibu ya hayo maombi unapewa na hawa nactvet?
 
Rucu ipo tcu boss. Ila sasa wameingia under nacte
Muhimbili si nao wapo TCU? Mbna nikitaka soma diproma ya pharmacy ruccu naomba moja kwa moja chuoni ruccu ila hiyo hiyo pharmacy ngazi ya diproma nkiomba muhimbili lazima niombe nacte?
 
Back
Top Bottom