suala ni kwa nini serikali ipeleke watu JKT na kusiwe na jinsi ya kuwapa ajiria!! sasa tutegemee nini kwa mtu mwenye mafunzo ya kupambana na kutumia silaha asiye na ajira?Bila ajira ya kudumu Serikali itawaandaa kuwa majambazi mitaani
Sasa hawa wakiamua kuwa majambazi sipati picha maana wanajua kutumia kila aina ya silaha[/QUOTE
Nilitaka kusema hivyo hivyo
Kwani wengi wao si wamemaliza form6? Kwanini hawajaenda kujiunga na vyuo ht vya ualimu?
idoyo niwie radhi kwa kuchelewa kufika huku
Baadhi ya askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
waliokosa ajira, wakimsikiliza ofisa wa polisi
aliyewataka waondoke eneo la Ocean Road jijini
Dar es Salaam baada ya kufanya maandamano ya
amani kutoka Jangwani kuelekea Ikulu kwa lengo
la kuiomba serikali iwapatie ajira ya kudumu.
cc mshana jr na wapenda maendeleo wote.