Haya ndio mashaka yalionipata baada ya kuingia gesti na mchepuko na mwanawe

hii ishu kwa wanaume ambao walishawahi kudate wadada wa hivyo lazima watakuwa wamekutana nayo.

Inakera kwa kiasi chake ukimshika mama kama toto yupo macho anaweza kupiga kelele balaa.
Kuna mengine ukubali tu yakupite sasa mambo ya kwenda kwenye date na nappy bag yanatoka wapi?
 
ILIKUWA HIVIIII

Wiki hii katika zunguuka yangu nikakutana na mchepuko wangu wa zamani ukiwa nao katika safari zake,tukasalimiana nikaona kwa kuwa jua ni kali basi tupate kinywaji kupoza moyo


Mtoto yule akanivunjia raha zangu

Kulala na mtoto ambaye kashazoea kulala na mama tabu saana
 
Amesha zoea kufanya hivyo huyo, huyo mtoto namuonea huruma kwa vitu anavyo zoesha ilihali bado umri wake mdogo
 
Back
Top Bottom