Haya ndio malipo ya kiburi

Ukweli ni kwamba maradhi yapo na suala la kukukataa ni haki yake usiforce ...Hajihisi fahari kuwa na wewe kama unaona unaweza kumsaidia msaidie tu ,watu wanatoa michango mpaka kweny harusi za maex wao sio kesi..mpambanie kama ataona umuhimu wako fresh akipuuza pia Haina noma chapa lapa.
 
Wenzako walishatoa mpaka figo na bado wakaishiwa kutukanwa na kudharauliwa
 
Wakina instagramu wamemnyesha mapombe yamemuharibu ini alafu boya katika ubora wako unabeba msalaba .....wewe kweli ni kiazi huyo mwanamke anahaki ya kukutemea mate
 
Tenda wema...

Kuumwa kwake hakuna uhusiano wowote na kiburi au dharau...
 
Mtibu alone arudi kwa WaInstagram
 
Msaidie tu kwakuwa upo karibu nao na wanahitaji msaada wako. Ila Fanya kama ubinadamu tu. Usije ukahitaji fadhila zozote baadae kutoka kwao, fadhila kama upendo toka kwao n.k.
 
Mtolee hata ini pita hata na dada mtu sio lazima upite naa mdogo mtu
 
Kwa hiyo unawasema wajamaa wa Instagram au unawataarifu waje wasaidie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…