Haya ndio Makampuni 20 bora ya Ujenzi/Ukandarasi Dunia.

Afatecol

Member
Sep 5, 2013
9
2
jx.png

THE TOP 20 INTERNATIONAL CONTRACTORS
RANK
FIRM
2012 REVENUE
$ MIL. INTERNATIONAL

2013
2012
1
2
Grupo ACS, Madrid, Spain†
42,772.0
2
1
HOCHTIEF AG, Essen, Germany†
34,563.3
3
5
Bechtel, San Francisco, Calif., U.S.A.†
23,255.0
4
3
VINCI, Rueil-Malmaison, France†
18,419.5
5
7
Fluor Corp., Irving, Texas, U.S.A.†
17,209.6
6
4
STRABAG SE, Vienna, Austria†
16,062.0
7
8
BOUYGUES, Paris, France†
14,196.0
8
6
Saipem, San Donato Milanese, Italy†
13,770.7
9
9
Skanska AB, Solna, Sweden†
13,291.6
10
10
China Communications Construction Group Ltd., Beijing, China†
11,187.2
11
11
Technip, Paris, France†
10,347.0
12
13
Construtora Norberto Odebrecht, Sao Paulo, SP, Brazil†
9,264.8
13
15
Samsung Engineering Co. Ltd., Seoul, S. Korea†
8,651.9
14
12
FCC, Fomento de Constr. y Contratas SA, Madrid, Spain†
8,354.5
15
25
Hyundai Engineering & Construction Co. Ltd., Seoul, S. Korea
7,814.0
16
14
Bilfinger SE, Mannheim, Germany
6,818.9
17
16
Balfour Beatty plc, London, U.K.†
6,047.7
18
20
Petrofac Ltd., Jersey, Channel Islands, U.K.†
5,684.8
19
19
Royal BAM Group nv, Bunnik, The Netherlands†
5,557.0
20
23
Sinohydro Group Ltd., Beijing, China†
5,473.1
 

Attachments

  • afatecol 5.jpg
    afatecol 5.jpg
    19 KB · Views: 205
Dah!....Nawaona Strabag wapo nafasi ya sita; Si haba
Afrika bado tuko nyuma sana,inatakiwa tukaze kamba hali si nzuri katika sekta ya Ujenzi
 
Mbele ya mada kama hizi we ukileta ya kwako 'Demu wangu kanikataa'? hivi unajisikiaje?
 
Mbele ya mada kama hizi we ukileta ya kwako 'Demu wangu kanikataa'? hivi unajisikiaje?

Ya demu wangu kanikataa itapata wachangiaji wengi mno na itajadiliwa mwezi mzima. JF ina reflect tabia halisi za watanzania, sisi busy ba siasa na mapenzi lakini mambo ya uchumi na maendeleo hatuna time nayo kabisa. Halafu tunaamini kuna siku nchi yetu itakuja kuendelea...
 
Back
Top Bottom