FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
Poleni sana, lakini ndio hivyo tena dada, chama kwanza dini baadaye
Ni matumaini yetu kuwa haki inatendeka kwa dini zote kama ahadi za uchaguzi.
Kofi la kwanza la ki kelb tulilozabwa ni pale Ndalichako aliporudishwa kwa cheo cha uwaziri katika wizara ambayo tuliwahi kuandamana kutotutendea haki mpaka akang'atuka.
Tunayatazama yote kwa macho mawili na moyo mkunjufu tukitegemea kuwa haki inatendeka.